Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 487
Bado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu zinazowakilisha kimataifa kwa maana ya Young Africans, Simba na Singida FG, lakini badala yake mechi zinasogezwa mpaka Oktoba.
TFF inatakiwa waelewe Simba ana match nyingi za kimataifa ili kuepuka viporo visivyo vya lazima ilitakiwa weekend hii match ziendelee.
Pia kwa sisi wazee wa mbungi kukaa muda mrefu bila kuangalia ligi yetu bora namba 5 inaboa sana.
N A W A S I L I S H A.