Kwanini Wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kiranja Mkuu, Nov 5, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikijiuliza bila kupata jibu.Kwanini Wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu?
  Lakini hivyo vibinti vyembamba vinavyotoka na wazungu vinakuja tena kwetu kukandamizwa ki SUKUMA huku ikisingizia kuwa wazungu ni wa baridi.
   
 2. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  !!!:nono:
   
 3. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Binafsi mzungu sioi. Wanawake wa kizungu wanapenda kuwa under control wakiwa uwanjani. Yaani wao wako juu
  sasa kama umechua bigwa wa judo uwe na nguvu za kulibeba. Chocolate skin mali bwana na mbambataa kahaja
   
 4. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wazungu walisha tambua kua afya sio kujinenepeana na maisha yao yalikua mazuri so wakajinenepea so ilikua kunenepa ni kitu cha kawaida , kutokana na utambuzi wa afya ikawa ni hali ya kawaida kupunguza unene na kuonekana mtu mwembamab ndio mwenye afya na maisha mazuri ikaja mbaka kwney urembo
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Ha ha ha ha!
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona hata mimi napenda wembamba warefu,bonge au mwenye wowowo kubwa hana soko kwangu.
   
 7. R

  ROBINHO Member

  #7
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuh!!
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  :tape::tape::tape::tape:
   
 9. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Me bana naona goma likiwa na mkia mkubwa linatamanisha sana ila likiwa kitandani linakuwa halishughuliki maana hata ukilipiga chini anajua mshepu unajiuza atapata mwingine,ndo maana hayaolewi yanaguswa 2,bt magoma membamba yapo flexible yanaji2ma na hayachoki haraka!sa wazungu ndo wanataka,bt ce wabongo 2napenda kuuza sura yaani kila m2 akusifu unagoma zuri,linashepu na mkia mkubwa ndo unafurahi,bt mie magoma yangu membamba 2nagongana mpaka kila m1 anamuomba mwenzie mapumziko!sawa bana
   
 10. F

  Ferds JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hilo ni swala la kiasili, wazungu na watu wengi weupe wanawke wao hawana shepu za kike, kwa sasa dunia yote imefuata mishepu ya kiafrica na ndio chanzo cha mioperation ya shepu, ****** nakadhalika, Africa mwembamba hana soko, hivi nenda kanda ya ziwa kama utakuta demu hana shepu ujue mhamiaji, njoo tanga, nenda ghana,nigeria na kadhalika, halafu goma kuwa vivu is just a question of fact, nt a substantive matter, wa2 wanasema ndizi mshale ni wavivu(nothern zone) lakini kama mtu anajua kumpika mwanamama, cdhani kama atashindwa hata kujibinua kama funza akiiva, acha kabisa wewe , basi huyo atakuwa na matatizo., ila namba nane haina mpinzani hiyo dunia nzima
   
 11. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  tembelea cassandra, woolworth n.k, then nambie kama utaona kinyago kinene hata kimoja, au tembelea car wash zote uliza kuosha semi trailor na baloon ipi itatoka safi.unene ni ugonjwa, ubaya, na uvivu. mademu wanene hawakunjiki kabisa lakini kikubwa zaidi ni zile SKIN CLUMPS na mifuta ya kwenye tumbo, mi demu wangu skinny anafundisha yoga na acrobatics, so mikunjo hapa guaranteed.
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mmh jaman wepes wa mtu haujali unene au wembamba wa mtu
   
 13. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Kuna wengine wanene na ni wazuri sana wanavutia mno ila anachoka sana uwanjani!!
   
 14. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heshima iwepo ndizi mshale akina nani. yani sipendi mimi nachefuka na matabia ya watu humu :A S angry:
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimekubali mkuu mie pia namba nane ndiyo chakula yangu yenye mvuto! Kwanza lile joto alilonalo, halafu ule usponchi sponchi kunako menyu dah unazungusha mbili tu kitu kina kinatoa chozi aaahsshh
   
 16. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Mimi mwenzenu bado mdogo...Nitakuwa nimekosea jukwaa hapa! Ngoja nirudi kwenye Jukwaa la chei chei shangazi!
   
 17. F

  Ferds JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hivi kweli tuseme kutoka moyoni, hivi ng'ombe mwenye nundu na asiye na nundu yupi utamkimbilia @ we kibhopile, halafu we wakuchakachua acha ukali bwana we ndizi mshale huzijui bwana, huwajui wale wenye miguu kama miti ya genge, kibweka we ndio mtu , mimi ni mzee wa mapaja ctaki vipapatio, ashishshshshsh, acha kabisa
   
 18. F

  Ferds JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kuna wengine wanene na ni wazuri sana wanavutia mno ila anachoka sana uwanjani!!

  Acha habari zako suala la kuchoka hata gari inachoka sembuse mtu maalimu papaa mopao
   
 19. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama nimeelewa vizuri , mada ilikua kwanini wanzungu wanapenda wanawake wembamba na sisi watu weusi tunapenda wanawake wanene...siyo kama weupe na weusi wepi bora....
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  hahaha!! mkuu unapozungumzia shepu unamaana "mnene" tatizo mademu wenye shepu huwa mikimikiki hawaiwezi.. kama unapata portable !! unaanza naye jikoni, bafuni.. mnamalizia kwenye kumi nane,!! unakesha mkuu,, Dare to try! si maanishi mwembamba size zero!! haha size zero wale ni wafu wanaotembea!
   
Loading...