Kwanini wawe wanawake wa kibongo tu?

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Nimekaa nikijiuliza suala hili kila likichomoza jua, nalizungumza hili kwa upande wa disco, bar, mahotelini kwa wale waishio Zanzibar.

Nimejaribu kufanya utafiti sehemu hizo nilizozitaja kwamba ukienda %100 kubwa ni wanawake wa kibongo na si wazanzibar kwanini?

Mara utamkuta demu anaongea kizanzibar, muulize kabila sasa, mmakonde, mnyamwezi, mchaga, wamejaa intebe na paris na sehemu zingine ambazo sizijui.

Tukija kwa upande wa wanaume ni mchanganyiko, nalileta kwenu hili wakuu mwenye hoja, malalamiko, kunikosoa nawakaribisha uwe na hoja ya kunipinga ikiwa umepita sehemu hizo nilizozitaja. MATUSI SI PAHALA PAKE.
 
Nimekaa nikijiuliza suala hili kila likichomoza jua, nalizungumza hili kwa upande wa disco, bar, mahotelini kwa wale waishio Zanzibar.
Nimejaribu kufanya utafiti sehemu hizo nilizozitaja kwamba ukienda %100 kubwa ni wanawake wa kibongo na siwazanzibar kwanini?
Mara utamkuta dem anaongea kizanzibar, muulize kabila sasa, mmakonde, mnyamwezi, mchaga, wamejaa intebe na paris na sehemu zingine ambazo sizijui.
Tukija kwa upande wa wanaume ni mchanganyiko, nalileta kwenu hili wakuu mwenye hoja, malalamiko, kunikosoa nawakaribisha uwe na hoja ya kunipinga ikiwa umepita sehemu hizo nilizozitaja. MATUSI SI PAHALA PAKE.

Lakini ukija kwa upande wa wanaume angalia mashoga wengi wanatoka......ukweli ni kwamba wanatokea hukohuko
 
Lakini ukija kwa upande wa wanaume angalia mashoga wengi wanatoka......ukweli ni kwamba wanatokea hukohuko

Mkuu punguza kupanik kwasababu dada ako yumo? haupingi kwa hoja umekuruka, uzi niliotoa kama hujafam ungeuliza kama mwenzako.
 
Hawa wanabadilishana/vituo vyao vya kazi kutokana na mahitaji ya soko/ajira..
 
Wanawake wa kizanzibar hawawezi kufanya kazi bar au casino,
Wamelelewa ktk maadili yanayomlazimu ajiheshimu na ajithamini kama mwanamke,

Sijajua kwa 'wabongo'

Mmh kwnz ujulikane unafanya kazi hiyo utatengwa mpk na kipofu.
 
Ni utamaduni tu wa waislam. full stop. Hata mitaani tu zanzibar, uwe mjin au shamba huwezi kuta wadada wana randa randa. na pia sio kwelie kwenye club za usiku hakuna wadada wa kizanzibar kabisa
 
Mkuu punguza kupanik kwasababu dada ako yumo? haupingi kwa hoja umekuruka, uzi niliotoa kama hujafam ungeuliza kama mwenzako.

Umesema matusi si mahara pake sasa dada wa mwenzio ameingiaje hapa au aliposema ushoga amekugusa ndio mambo yako nini mkuu.punguza jazba na kupanic
 
Umesema matusi si mahara pake sasa dada wa mwenzio ameingiaje hapa au aliposema ushoga amekugusa ndio mambo yako nini mkuu.punguza jazba na kupanic

Aisee jamaa kapaniki mbaya kuna shida pahala si bure
 
Wanawake wa kibongo wakienda sehemu na kukawa na ulaji hawarudi tena. Popote kambi. Maisha ni kutafuta na siyo kutafutana.
 
Back
Top Bottom