Kwanini wawe wanawake wa kibongo tu?

Kwanini wawe wanawake wa kibongo tu?

Tatizo mtoa post hujui Shida na raha, na baada ya shida na kuchoka, watu huendi sehemu za starehe.
 
Last edited by a moderator:
Nimekaa nikijiuliza suala hili kila likichomoza jua, nalizungumza hili kwa upande wa disco, bar, mahotelini kwa wale waishio Zanzibar.

Nimejaribu kufanya utafiti sehemu hizo nilizozitaja kwamba ukienda %100 kubwa ni wanawake wa kibongo na si wazanzibar kwanini?

Mara utamkuta demu anaongea kizanzibar, muulize kabila sasa, mmakonde, mnyamwezi, mchaga, wamejaa intebe na paris na sehemu zingine ambazo sizijui.

Tukija kwa upande wa wanaume ni mchanganyiko, nalileta kwenu hili wakuu mwenye hoja, malalamiko, kunikosoa nawakaribisha uwe na hoja ya kunipinga ikiwa umepita sehemu hizo nilizozitaja. MATUSI SI PAHALA PAKE.

Khaa!! Yaani wewe kila jua likichomoza unawaza mambo kama haya!!!:crazy:
 
hakuna cha kushangaza jibu ni simpela tu kazi kama kazi nyingine
 
Siku nyingine waza jinsi ya kupata pesa utunze familia yako kuliko kuwaza kwann wamakonde wako bar! Miaka anasogea, mvi zinaongezeka kichwani wewe unawagawa wabongo na wazenji, khaaaa!!
 
Back
Top Bottom