matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,686
- 15,592
Congo walifikaje na lini? Na burundi pia walifikaje?Wana nchi yao ni Rwanda.
Hao waliingia DRC miaka ya karibuni ,watusi kwaoHili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.
Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TX, Wajaruo wako Kenya, Tanzania, Uganda na South sudan, Wamakonde wako kote na makabila mengi duniani.
Kwa nini wenzetu hawa watutsi ambao kiasiri wamekuwepo huko mashariki mwa Congo, Rwanda na Burundi imekuwa ni tatizo?. Kwa nini wasitambuliwe kama makabila mengine ambayo yanapatokana nchi mbili.
Wajuvu mtujuze zaidi..
Waliingia baada ya uhuru kama mkakati maalumu wa kujitanua Kwa Rwanda.Congo walifikaje na lini? Na burundi pia walifikaje?
Kuna kitu sikielewi. Maana hata hapo Rwanda inasemekana walitokea huko juu Ethiopia
Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.
Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TX, Wajaruo wako Kenya, Tanzania, Uganda na South sudan, Wamakonde wako kote na makabila mengi duniani.
Kwa nini wenzetu hawa watutsi ambao kiasiri wamekuwepo huko mashariki mwa Congo, Rwanda na Burundi imekuwa ni tatizo?. Kwa nini wasitambuliwe kama makabila mengine ambayo yanapatokana nchi mbili.
Wajuvu mtujuze zaidi..
Una chanzo chochote. Maana Nilimsikia Hayati Nyerere anaongea mbele ya wazungu kuwa kabla ya mipaka ya wabelgiji jamaa huko mashariki mwa Congo wapo kitambo.Waliingia baada ya uhuru kama mkakati maalumu wa kujitanua Kwa Rwanda.
UongoUna chanzo chochote. Maana Nilimsikia Hayati Nyerere anaongea mbele ya wazungu kuwa kabla ya mipaka ya wabelgiji jamaa huko mashariki mwa Congo wapo kitambo.
Kuna kitu sielewi.
Nelson Jacob Kagame Kuna wito wako huku, mwongozo wako tafadhali.Wana nchi yao ni Rwanda, af fanya yote usimkaribishe mtusi kwako au uchini hao watu wanatabia ya kuua (host) mwenyeji wao nakutaka kutawala, ona uganda, Burundi, Rwanda mojarity 80% wa hutu ila wanata ku dominant, DRC kuna makabila zaidi ya 200 hao watusi hata 1m hawafiki ila ndo wanataka kutawala, ukiona Mtutsi ni wakuua au kutimua mapema.
Wewe angalia hapa JF wameweza kurubuni uongozi wa Jf na kufungua forum ya kinyarwanda wanatumia lugha ya kinyarwanda ambao wengi hatuijui hao watu ni wabaguzi hatari wanajionaga special sana kwa wengine.Mkuu ni kwa sababu hao kina Nelson Jacob Kagame wanasisitiza special treatment hadi kwenye madaraka huko wawe na quarter.
Zingatia eti wao walizaliwa viongozi.
Wewe angalia hapa JF wameweza kurubuni uongozi wa Jf na kufungua forum ya kinyarwanda wanatumia lugha ya kinyarwanda ambao wengi hatuijui hao watu ni wabaguzi hatari wanajionaga special sana kwa wengine.
Ila family tree ya nyerere unaifahamu vizuri na kwanini anawatetea?Una chanzo chochote. Maana Nilimsikia Hayati Nyerere anaongea mbele ya wazungu kuwa kabla ya mipaka ya wabelgiji jamaa huko mashariki mwa Congo wapo kitambo.
Kuna kitu sielewi.
Ni lishangaa sanaa na nikajua hao watu wetu wa JF hawana misimamo dhabiti, basi wafungua na forum za kisukuma kikuyu kiganda kwasbb hao watu wanao ongea hiyo lugha ni wengi kuliko wanao ongea kinyarwandaWakati hatuna majukwaa ya makabila humu. Kwa kweli ni aibu sana.
Nilikuwa sielewi. Naona jamaa wanaandika vilughalugha kumbe ni waTutsi wale mabingwa.Wewe angalia hapa JF wameweza kurubuni uongozi wa Jf na kufungua forum ya kinyarwanda wanatumia lugha ya kinyarwanda ambao wengi hatuijui hao watu ni wabaguzi hatari wanajionaga special sana kwa wengine.
Uongo upiUongo