Ahahahahahaa,,, mkuu we noma sana mtusi tena badala ya kusema mamaaaaaa alafu ndio mtusi teh teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hatari sana.Mm nkipata hajar ndogo, huwa nakulupuka na tusi, sio mama wala Mungu.
Nikiisha ona sijazurka sana, ndio namshukuru Mungu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi ila si kwa first born hata second, third na kuendelea huwezi sema mama anapendwa na first born dunian kote..
Fantastic[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kwanini?ila usiseme kukuzaa coz bila baba hiyo mimba isingekuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849]Ahahahahahaa,,, mkuu we noma sana mtusi tena badala ya kusema mamaaaaaa alafu ndio mtusi teh teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu sasa nashindwa kuelewa nyumba pasipo baba sio nyumba hakuna heshima n.k sasa iweje watoto wasijue humuimu wetu wamama ndo wanaonekana wao ni bora
Leta mtusi ila usije ukawa kwenye daladala watu wakasema umevurugwa ahahahaha
Ni sahihi ila si kwa first born hata second, third na kuendelea huwezi sema mama anapendwa na first born dunian kote..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kama mama maana angekubana wewe usingezaliwa hai! Umemkojolea, ukamnyea ukimsumbua wakati unaumwa hata kuongea hujui ila yeye akajua unasumbuliwa na nn. Mtoto huanza kumtambua mama yake,sasa ukitaka kujua wa mama hujiweka kando, mara baada ya kuwa viupaumbele kwa watoto wao (mfano wa kiume) kupata wenza why hua hawatoi hata sent moja ktk suala la mahali ya mtoto wao... ila shukran nyingii zitamwagwa kwa mama wakati wa risala.. Ivi pasipo mahali ya baba kweli hata hiyo risala ingesomwa.. Jamani tuwaonenii huruma baba zetu.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamaanisha kuwa mtoto wa kwanza kwenye familia kuna vitu unakosa coz wazaz bado ni lena kwenye kulea au unamaanisha nnWew sisi mafirst born, baba na mama huwa tunawaona wazinguaji wote,
Labda kama wew mpenz wa kazi za kike hapo mama utampenda sana.
Ila first born siku zote huwa ni mchafua mazingira nyumban coz wazazi ndio huanza kulea kwa mala ya kwanza kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu binafsi namuogopa sana mama mzaz najua umuhimu wake ndio maana mama akikuachia maana hutoboi hata kidogo la hasha si kwamba baba hana umuimu kwenye malezi naye anao but kumfikia mama badoHakuna kama mama maana angekubana wewe usingezaliwa hai! Umemkojolea, ukamnyea ukimsumbua wakati unaumwa hata kuongea hujui ila yeye akajua unasumbuliwa na nn. Mtoto huanza kumtambua mama yake,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamaanisha kuwa mtoto wa kwanza kwenye familia kuna vitu unakosa coz wazaz bado ni lena kwenye kulea au unamaanisha nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba anajukumu la kukushape ukue katika maadili mazuri na kuheshimu wengine,Mkuu binafsi namuogopa sana mama mzaz najua umuhimu wake ndio maana mama akikuachia maana hutoboi hata kidogo la hasha si kwamba baba hana umuimu kwenye malezi naye anao but kumfikia mama bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu asilimia 100% nimeona hata kwa familia yetu wazaliwa wa kwanza umebebeshwa mizigo misiri ya punda pamoja na kuangalia malezi ya wadogo pia umesema wanakuwa attack sana na shetani ni kweli kabisa na wanasema mtoto wa kwanza akifanikiwa basi the rest wote ufanikiwaNdio hivo, ninlahis sna mzazi kukupelekesha na kutaka ufanye mengi atakavyo yeye, na hutaka mazur kwako haraka hadinkupitiliza.
Pia ukikua kua tu ni rahis wao kuwa busy na wadogo zako.
Pia shetani nae ni nan, ana attack sana wazaliwa wa kwanza katika familia, kwan wao ndio nguzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nakubaliana na wewe mkuu nakumbuka nilikuwa nachezea sana kichapo kutoka kwa mzee wangu nashukuru alinijengea misingi ya kuwaheshimu wote bila kujali itikadi zozote zileBaba anajukumu la kukushape ukue katika maadili mazuri na kuheshimu wengine,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu asilimia 100% nimeona hata kwa familia yetu wazaliwa wa kwanza umebebeshwa mizigo misiri ya punda pamoja na kuangalia malezi ya wadogo pia umesema wanakuwa attack sana na shetani ni kweli kabisa na wanasema mtoto wa kwanza akifanikiwa basi the rest wote ufanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaa kumbe[emoji848][emoji848][emoji848]Wew sisi mafirst born, baba na mama huwa tunawaona wazinguaji wote,
Labda kama wew mpenz wa kazi za kike hapo mama utampenda sana.
Ila first born siku zote huwa ni mchafua mazingira nyumban coz wazazi ndio huanza kulea kwa mala ya kwanza kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
AhahahaahahhahahhaKabisa,
Sasa huyo jamaa ambae anajikuta ana mapenz sana na mama, alafu ni first born, na wasiwasi na akili zake.
Au nadhan mama ake ni mama wa nyumban na anadekeza watoto wotee.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni sawa lkn pasipo huduma za baba hata maziwa yasinge patikana..Hakuna kama mama maana angekubana wewe usingezaliwa hai! Umemkojolea, ukamnyea ukimsumbua wakati unaumwa hata kuongea hujui ila yeye akajua unasumbuliwa na nn. Mtoto huanza kumtambua mama yake,
Sent using Jamii Forums mobile app