Kwanini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?

Kwanini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?

Windows karibu zote zikitokaga huwa zinakua na ukosoaji mkubwa lakini baadae zinakuja kukubalika

Hii inatokana na mazoea ya windows ya awali kwakuwa unakua umeizoea sana unaona windows mpya kama miyeyusho

Ila mimi Windows 8 niliiruka kabisa sijaitumia[emoji23]

Ni swala la muda tu
 
Vipi kuhusu Zorin OS
 

Attachments

  • 1692650142061.png
    1692650142061.png
    347.1 KB · Views: 15
Nadhani kati ya window ambayo haikupendwa ni window 8. Wengi tulihama kutoka 7 kwenda 10
Kwa nini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?, Windows 11 haijawa successfully kama tulivyotegemea mbali ya kuwa na features na Promo kubwa?
View attachment 2605277
Nakubaliana na wewe, 8 ilibuma na kuna mahali nilisoma kuna mtu alitoa wazo yake akasema imetokea tu ikitoka toleo moja bora sana basi linalofuata litabuma

Akatolea mfano Windows XP ilikuwa mashine haswa (hili wengi mashahidi) iliyofuatia Windows Vista ikabuma

Windows 7 ikawa mashine ni balaa (hapa hata sisemi maana ipo hadi kwenye kumbukumbu za hansard) ila Windows 8 ikabuma

Ikaja Windows 10 ikawa bora sana
Na sasa iliyofuatia Windows 11 kwa maoni ya wengi wanayoitumia bado haijaweza kukidhi mahitaji yao kulingana na walichotarajia

Basi tukifata hii trend ni obvious itayokuja itakuwa ni balaa
 
Back
Top Bottom