Kwanini watu wengi hubadili sauti wanapoongea na simu?

Kwanini watu wengi hubadili sauti wanapoongea na simu?

Joined
Nov 9, 2013
Posts
31
Reaction score
3
Mimi huwa najiuliza sipati jibu, mtu akipigiwa simu iwe ni wapenzi au jinsia tofauti huwa anabadili sauti kuliko ile asilia.

Tatizo nini ushamba au makeke?
 
naunga mkono hoja nimeshuhudia hio ,watu sauti zinabadilika kuwa stereo
 
Wewe ndio unashidwa kutofautisha
Kwa hali ya kawaida sauti ikisafiri kwenye simu lazima ibadilike tu!
 
Wewe ndio unashidwa kutofautisha
Kwa hali ya kawaida sauti ikisafiri kwenye simu lazima ibadilike tu!

Sayansi inakataa kua sauti inauwezo wa kusafiri,
kinachosafiri ni mawimbi ya sauti{sound waves}
 
natoa ofa kwa vijana wenye uelewa mdogo ktk mambo mbalimbali waniulize kuliko kuonekana hewa
 
Back
Top Bottom