Umenikumbusha baba yangu , alikuwa anaogopeka .nikiwa binti kigoli wavulana walikuwa wanaogopa kunitongoza kisa baba yang,
Endapo kama tukihitaji mahitaji au pesa sijui ya bag la shule, sijui viatu tunaandika kimemo nakuweka katka meza ya chumban akirudi anakisoma na kukupa jibu.
Majiran wakitaka kitu nao wanaogopa ata kumface, kuna watu wanahisi mwanajeshi kumbe sio
Haikuwa rahisi kumface kumwambia kitu...
Nilikuwa nikipewa dawa kloroquine chungu natapika, akirud baba kwa uwoga akiongea tu inapita na sitapiki.
Akirudi zaidi ya salamu hakuna anayeweza kumfungulia mdomo,
Huwezi kuamini muda huu kazeeka tunaongea nae kama mshikaji wetu, na kumtania juu.
Huenda hii kitu inaukweli ukizeeka inapotea
Sent using
Jamii Forums mobile app