May be kaandika ameshalivuta, may be katoka kwa mama koku kuweka kakonyagi pori, may be anataka misifa, may be hajawahi ona ma handsome na watu wa kutisha zaidi yake maana anakaa Chato.May be uko serious sana..May be hauko politely the way you talk..May be unaongea kwa ukali ukali..may be uko stressed bila kujijua..may be una over confidence..may be mtaa wa unaokaa ww ndio unaonekana unavisenti..may be uoga wao tu..may be wenge lako tu kuonwa unaogopwa kumbe hamna lolote..may be stimu unazotumia unajiona kama Vandame..may be ..may be ..may be...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sari ball
Hapa hata ww fungua uzi weka nukta watu watachangia
Umenikumbusha baba yangu , alikuwa anaogopeka .nikiwa binti kigoli wavulana walikuwa wanaogopa kunitongoza kisa baba yang,Madame jibu lako ni sahihi, nyota ya simba yani mtu anakuwa anaogopwa mpaka mke anakuogopa watoto wakikuona hata maji hawanywi ila huwa inafifia kadri umri unavyosonga ukizeeka inaisha kabisaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni ngumu sisi kukuambia sababu kwani hatujui unaonekanaje, itakua rahisi ukiweza kumshirikisha rafiki wako wa karibu au mfanyakazi mwenzako anaweza akakupa sababu.Wasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ Chloroquine inashuka sio.Ila hii chloroquine nilikua siipeeeeeendi arrgggghhhUmenikumbusha baba yangu , alikuwa anaogopeka .nikiwa binti kigoli wavulana walikuwa wanaogopa kunitongoza kisa baba yang,
Endapo kama tukihitaji mahitaji au pesa sijui ya bag la shule, sijui viatu tunaandika kimemo nakuweka katka meza ya chumban akirudi anakisoma na kukupa jibu.
Majiran wakitaka kitu nao wanaogopa ata kumface, kuna watu wanahisi mwanajeshi kumbe sio
Haikuwa rahisi kumface kumwambia kitu...
Nilikuwa nikipewa dawa kloroquine chungu natapika, akirud baba kwa uwoga akiongea tu inapita na sitapiki.
Akirudi zaidi ya salamu hakuna anayeweza kumfungulia mdomo,
Huwezi kuamini muda huu kazeeka tunaongea nae kama mshikaji wetu, na kumtania juu.
Huenda hii kitu inaukweli ukizeeka inapotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa umeniweza Choroquineπππ Chloroquine inashuka sio.Ila hii chloroquine nilikua siipeeeeeendi arrgggghhh