Kwanini watu wananiogopa sana?

Kwanini watu wananiogopa sana?

May be uko serious sana..May be hauko politely the way you talk..May be unaongea kwa ukali ukali..may be uko stressed bila kujijua..may be una over confidence..may be mtaa wa unaokaa ww ndio unaonekana unavisenti..may be uoga wao tu..may be wenge lako tu kuonwa unaogopwa kumbe hamna lolote..may be stimu unazotumia unajiona kama Vandame..may be ..may be ..may be...

Sent using Jamii Forums mobile app
May be!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya utafiti wewe mwenyewe na, anza kujitathmini mwenyewe , ukimaliza hapo tafiti walokuzunguka jibu utalipata.
Lakini unaposema unaogopwa mpaka na watoto basi wewei si wa kawaida yawezekana kuna pepo linakusababisha.
na hili lipo pia katika safari ya maisha yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatutofautiani nami nipo hivyo but nikifunguka kupiga story wengi wananifurahia but wanahisi naweza kumdhulu mtu akileta mambo ya ajabu even though naweza because sipendelei ujinga na mambo ya ajabu.

My ex ni mwongeaji sana na aliwahi kuniambia anapendezwa na tabia yangu ya ukimya.

In short macho yangu yanaweza kukueleza nimekufurahia au nimekuchukia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jichunguze pengine una tabia za kibeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Magu kwa sura wala siyo ya kutisha mkuu..Ila anaogopesha sana watu..Matendo/nyendo/tabia yako mkuu ndiyo inatisha..

#Muungwana_John
 
Back
Top Bottom