Kwanini watu wananiogopa sana?

Kwanini watu wananiogopa sana?

Kaka zangu niliozaliwa nao tumbo moja wananiogopa sana! Kila nikijitahidi kujichekesha chekesha ili angalau wasiwe na hofu ndio nazidi kuharibu kabisa. Jinsi wanavyoongea na mimi ni kana kwamba wanajishusha na kuwa wadogo mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
ilitakiwa usubili kama na mimi au Heche tukukuogopa ndo ufungue uzi,
Mimi kitu pekee nachokiogopa ni uoga wenyewe iwe Zilla The G hakika sitaweza kukuogopa.
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Superiority complex.
 
- mkimya sana

- sichangamani na watu.

-napenda kukaa mwenyewe.

-napenda kusoma vitabu, kuangalia movie, na kusikiliza music.

Sent using Jamii Forums mobile app
basi kama ni kweli hizo ndio tabia zako na hayo ndio matokeo ya tabia ulizonazo.. kuna kundi la watu hawa wacheshi,wapenda sifa,waongeaji,wambea,wanapenda matani,wanafahamika mtaa mzima n.k
Tafuta mtu mmoja wa dizaini hiyo awe rafiki yako huyu atakufanya uwe social na utapata marafiki wengi lkn Tafuta mtu wa makamu yako kidogo hekima iwe kichwani mwake maana kidogo watu wa namna hiyo kama hajielewi atakukasirisha utakuwa gazeti lake la kuwapasha wengine habari.. ama tafuta watu dizaini yako mjadili vitabu n.k lkn kama unataka kuwa social lzm ujihadhari sana.. natumai unauwezo mpana wa akili basi utumie unahitaji taarifa nyingi za kwenye jamii yako ili uwe social na sifa za watu hao ndo watakusaidia hayo.
but you can't change the way your are..
Mkuu cha kukufurahisha ni kutokana na hizo tabia zako kuna aina ya wanawake ukikutana nao watakuendesha😆😆 hicho ni kidokezo tu.
 
basi kama ni kweli hizo ndio tabia zako na hayo ndio matokeo ya tabia ulizonazo.. kuna kundi la watu hawa wacheshi,wapenda sifa,waongeaji,wambea,wanapenda matani,wanafahamika mtaa mzima n.k
Tafuta mtu mmoja wa dizaini hiyo awe rafiki yako huyu atakufanya uwe social na utapata marafiki wengi lkn Tafuta mtu wa makamu yako kidogo hekima iwe kichwani mwake maana kidogo watu wa namna hiyo kama hajielewi atakukasirisha utakuwa gazeti lake la kuwapasha wengine habari.. ama tafuta watu dizaini yako mjadili vitabu n.k lkn kama unataka kuwa social lzm ujihadhari sana.. natumai unauwezo mpana wa akili basi utumie unahitaji taarifa nyingi za kwenye jamii yako ili uwe social na sifa za watu hao ndo watakusaidia hayo.
but you can't change the way your are..
Mkuu cha kukufurahisha ni kutokana na hizo tabia zako kuna aina ya wanawake ukikutana nao watakuendesha hicho ni kidokezo tu.
Asante boss!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wewe tuu mkuu...ila mim hawaniogop wanajetaid kuwa na urafiki namim ila mi sipo social..napenda sana kuwa pekeangu som tym na marafik 2 au 1 ...ila napenda sana bar.nikisha lewa then apo nadandia kila kiumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
una kitu ndani yako kinaitwa negative energy inayopelekea utoe negative vibes.

sijui nianzie wapi kukufafanulia ila ingia google tafuta positive vibes, positive energy, google nenda wikihow tafuta how to be liked by other people, how to emit positive vibes, uliza positive energy, uliza what is positive vibrations etc, kuna mengi sana utajifunza unaweza hata ukawa addicted ukawa kila ukiingia googlr unasearch ishu hizo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta wewe ni mzimu sema hujui tu
 
Weka picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha masihara bwana Humphrey Polepole. Bado hujajua sababu?

- KANA -
 
Back
Top Bottom