Kwanini watu wananiogopa sana?

May be!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya utafiti wewe mwenyewe na, anza kujitathmini mwenyewe , ukimaliza hapo tafiti walokuzunguka jibu utalipata.
Lakini unaposema unaogopwa mpaka na watoto basi wewei si wa kawaida yawezekana kuna pepo linakusababisha.
na hili lipo pia katika safari ya maisha yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutofautiani nami nipo hivyo but nikifunguka kupiga story wengi wananifurahia but wanahisi naweza kumdhulu mtu akileta mambo ya ajabu even though naweza because sipendelei ujinga na mambo ya ajabu.


My ex ni mwongeaji sana na aliwahi kuniambia anapendezwa na tabia yangu ya ukimya.

In short macho yangu yanaweza kukueleza nimekufurahia au nimekuchukia .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jichunguze pengine una tabia za kibeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Magu kwa sura wala siyo ya kutisha mkuu..Ila anaogopesha sana watu..Matendo/nyendo/tabia yako mkuu ndiyo inatisha..

#Muungwana_John
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…