Kwanini watu wanajifunza vitu ambavyo havipo na havitakuwepo?

Kwanini watu wanajifunza vitu ambavyo havipo na havitakuwepo?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
847
Reaction score
2,954
Mfano: mambo ya unyakuo wa kupalizwa mbinguni.

Kwenda kuchomwa moto, ni nani alisema kwamba adhabu Kali ni kuchomwa moto tu.

Habari za mitume kwahiyo toka enzi hizo hakuna binadamu wema au ambao wamehubiri amani kuliko hao mitume wa kusadikika.

Taifa teule la mungu doh! basi huyu mungu mnaosema Hana upendeleo mbona Hana tofauti na binadamu tu yaani mataifa yote duniani ila moja TU ndo analipenda.

kama tu mpaka Leo hamjui mapiramidy ya misir ambayo yanaonekana kwa macho kwamba yalijengwaje. je vp kuhusu hizo story za yesu si itakuwa ni uongo mara 10

Watu wanapambana kukemea mapepo ambayo hata hawajui yapo na umbo gani Wala yanaishi vp.

Ni hayo tu kwa Leo.
 
Kabla ya kuanza kujadili adhabu za mwisho wa Dunia.
Ungeanza kwanza kujadili.
Uzao wako.
Imewezekana vipi shahawa zikageuka ukawa kiumbe?
 
Ni sababu kubwa zifuatazo:
Kwanza, woga wa ima kuogopa moto au kukosoa. Wangejua wanavyokuwa wanapokuwa wamelala usingizi, wala wasingejihangaisha na kujiuliza maswali haya,
Pili, kupenda raha kwa vile wapo wanaoahidiwa mara maziwa utadhani ni watoto wachanga au ndama, asali, utadhani nyuki na wengine wanawake utadhani makasanova.
Tatu, ujinga na uvuvi wa kufikiri na kutafiti tu ndiyo maana wanahimizwa kuamini na si kuelewa. Wanahimizwa kufuata na si kuhoji wala kuongoza,
Nne, kujiliwaza. kuwa wako sawa,
Tano, kufuata mkumbo. Wengi wanaingizwa kwenye dini na wazazi wao ambao nao waliingizwa na wazazi wao kupitia kuzoeshwa hadi inanata ubongoni. Kimsingi, yapo mambo mengi.
 
Kabla ya kuanza kujadili adhabu za mwisho wa Dunia.
Ungeanza kwanza kujadili.
Uzao wako.
Imewezekana vipi shahawa zikageuka ukawa kiumbe?
Uzao mm naweza nikakwambia maana ni mambo Yako wazi vp ww kuhusu hayo maswali hapo juu
 
Mungu hakupendelea israel tu alipenda mataifa yote.ibrahimu alisikia sauti ya mungu na kutii Mungu akampenda ibrahimu akafanya agano naye kuwa atakuwa taifa kubwa ibrahimu.wajukuu wa ibrahimu ndyo israel yani uzao wa yakobo.baada ya yesu kuja wote tumekuwa uzao wa ibrahimu kwa imani na wote tumekuwa israel ya kiroho kwa imani.waebrania 11 sura yote.kuhusu moto hakuna moto unaowaka sahv.moto upo wakati wa mwisho utaangamiza waovu wote na kuwa majivu hawatakuwa hai tena.malaki 4:3 4 na daniel 12:1~3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom