Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,456
- 3,300
Kwenye nyongo hapo sijakupata mkuuKatika unywaji wa pombe Kali au bia inshu ni kichwa Cha mtu kuhusu ladha inshu ni nyongo Yako pia
Ladha pia unazingatia?Inanipa confifance
Ladha pia inakuvutia?Inanipa ujasiri wa kutukana yeyote.
Inategemea na Pombe.Ladha pia inakuvutia?
Ladha gani unapenda mkuu?Inategemea na Pombe.
Amna nadhani kuna kitu kinawafanya wanapenda, huo ndio uchawi.Wamelogwa na wachawi
Sasa unabishana na mawazo yangu, unafikiri ni kitu gani sasa tofauti na uchawi toa ufafanuzi.Amna nadhani kuna kitu kinawafanya wanapenda, huo ndio uchawi.
SawaSasa unabishana na mawazo yangu, unafikiri ni kitu gani sasa tofauti na uchawi toa ufafanuzi.
Mimi nakunywa pombe tamu tamuu..Wakuu habari
Naomba kufahamu katia unywaji wa pombe kali au bia,
Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhis vibe fulani, ndio vinawaletea mumkali?
Ladha gani mnayoipenda kwa bia na pombe kali.
For user only🔥
Mkuu kwahyo suala la ladha lina matter ?Mimi nakunywa pombe tamu tamuu..
Kwa Sasa namix konyagiiii na tonic water.
Au na mix ukwaju na KONYAGIIII murua sana sanaa
Magic moment mix na tonic water murua kabisaa..
Bia nazo penda Smirnoff black ice, flying fish...
Hizi sipendezwi maana zinanukisha harufu safari lager, caste lager, balimi, Serengeti lager aiseeee sizipendii kabisa..
Hujui kitu kwenye mambo ya pombe nimekupa LIFE BAN..Sasa unabishana na mawazo yangu, unafikiri ni kitu gani sasa tofauti na uchawi toa ufafanuzi.
Mimi mavitu machungu hayapitagi kooni Mimi na mix na ukwaju au TONIC WATER MOSTLY..Mkuu kwahyo suala la ladha lina matter ?
Nakutafuta bila mafanikio, familia yako haijambo? Vipi kuhusu wewe bruhMimi nakunywa pombe tamu tamuu..
Kwa Sasa namix konyagiiii na tonic water.
Au na mix ukwaju na KONYAGIIII murua sana sanaa
Magic moment mix na tonic water murua kabisaa..
Bia nazo penda Smirnoff black ice, flying fish...
Hizi sipendezwi maana zinanukisha harufu safari lager, caste lager, balimi, Serengeti lager aiseeee sizipendii kabisa..