Kwanini watu wanaheshimu sana cheti cha form four?

Now and then

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
617
Reaction score
1,722
Kwanini hapa Tanzania watu wanaheshimu sana cheti cha form four yaani ikiwa hata kama una GPA ya tano ila form four ukiwa na four unachukuliwa poa.?

Hii inasababishwa na nini mfano yule Mkuu wa Nchi ya Matiyaski Ana masters Ila watu wanambeza Sana wanasema Elimu yake ni fake kisa tu alipata Four ya mwishoni .
 
Rais Samia Suluhu Hassan
 
Hii inasababishwa na nini mfano yule Mkuu wa Nchi ya Matiyaski Ana masters Ila watu wanambeza Sana wanasema Elimu yake ni fake kisa tu alipata Four ya mwishoni .
Cheti na alama za kidato cha nne ndicho hukutambulisha wewe na uhalisia wako kabla akili hazijafunguka na kuanza sarakasi na uongouongo.Alama za kidato cha nne ndizo dira na picha yako ulivyo na zinaaminika zaidi.
NB:Haujawahi kusikia kuna degree za chvpi?Ila,hakuna "fomfoo" ya kimwanandani.
 
Kwanini hapa Tanzania watu wanaheshimu sana cheti cha form four yaani ikiwa hata kama una GPA ya tano ila form four ukiwa na four unachukuliwa poa.?

Hii inasababishwa na nini mfano yule Mkuu wa Nchi ya Matiyaski Ana masters Ila watu wanambeza Sana wanasema Elimu yake ni fake kisa tu alipata Four ya mwishoni .
KATI YA UALIMU NA UDAKTARI KIPI KINAANZA?
 
Back
Top Bottom