Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,407
- 289,557
Wanagombea wanafamilia na sio wazikaji, I guess! Katika mila kumzika mtu kuna implication za possession.. hivyo kuna vitu utavipata kwa kuwa wewe ndiye unayehusika na marehemu na "albda utakuwa na mamlaka na mali zake" nasema labda. BUT under the law of the nation, hiyo haiwezi kukusaidia kupata mali za marehemu kama huna sifa za kuwa mrithi wake.Wakuu nawasalimu katika lugha yetu ya hapa jf , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Kwa sasa imekuwa ni desturi ya baadhi ya watu kugombea maiti ya marehemu yeyote , awe tajiri au masikini , kwa kadiri ya ufahamu wangu mali za marehemu hawawezi kupewa watu walioshiriki mazishi kwa namna yoyote ile , sasa ni kipi kinachowafanya watu hawa wagombee kuzika maiti ?
Kuna maswala ya imani, mila & ndoa hua chanzo kikubwa.Wakuu nawasalimu katika lugha yetu ya hapa jf , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Kwa sasa imekuwa ni desturi ya baadhi ya watu kugombea maiti ya marehemu yeyote , awe tajiri au masikini , kwa kadiri ya ufahamu wangu mali za marehemu hawawezi kupewa watu walioshiriki mazishi kwa namna yoyote ile , sasa ni kipi kinachowafanya watu hawa wagombee kuzika maiti ?
Vip kuhusu ndoto yako ulishapata majibu?Hukwu kwetu wanainchi tunashirikiyana sana kwnye mambwo yote ya musiba na usipoenda utapingwa fahini au wanachukuwa kuku mbuzi?
Asante mkuu , na hasa niliwalenga ndugu wa Marehemu , Kwa maana ya mume , wajomba , baba , mama nkWanagombea wanafamilia na sio wazikaji, I guess! Katika mila kumzika mtu kuna implication za possession.. hivyo kuna vitu utavipata kwa kuwa wewe ndiye unayehusika na marehemu na "albda utakuwa na mamlaka na mali zake" nasema labda. BUT under the law of the nation, hiyo haiwezi kukusaidia kupata mali za marehemu kama huna sifa za kuwa mrithi wake.
Niko tayari kukosolewa....
lakini kwanini wanagombea hasa , wanataka kupata baraka , au wanataka mali ama ni masuala ya kishirikina ?Hii inatokea pale pande mbili zinapokuwa hazielewani mfano upande wa wazazi wa marehemu na upande wa mme wa marehemu.
Kama mnaelewana tokea nyuma ni suala la kuafikiana tu kiroho safi.
mjomba unachoandika ni kiswahili au ni lugha nyingine ?Sijapyata majimbu ya ndoto yagu hila wandau wanaenderea kuchayangia mahada?
Yes wanakuwa na dhana ya kuwa ukimzika marehemu basi unakuwa automatically na mamlaka ya "kuwa" na umuliki au kuzisemae /mwangalizi wa mali yake. Kimila iko hivyo, lakini sheria ya serikali ambayo iko juuu ya sheria ya kimla when there is a conflict between the two, haikusaidii hata ukigombea maiti. Mke/mume ana mamlaka ya mwisho juu ya mwili wa mke/mume wake!Asante mkuu , na hasa niliwalenga ndugu wa Marehemu , Kwa maana ya mume , wajomba , baba , mama nk
Mila za kipuuuzi!Zunguka koooote ila jua kwamba maiti ana thamani kuliko aiye na uhai.
Yupo hospital unatoa 20 ya matbabu...akifa unätoa 100+
sio mila.....fikraMila za kipuuuzi!
Fikra zinakuwa shaped/guided na mila! You need to have a theory to base your premisesio mila.....fikra
Nafikiria wakishagombana halafu mwisho wa siku wakakuta Marehemu kishaandaa wosia na ndani yake waliogombana hawamo sijui itakuwaje ?Yes wanakuwa na dhana ya kuwa ukimzika marehemu basi unakuwa automatically na mamlaka ya "kuwa" na umuliki au kuzisemae /mwangalizi wa mali yake. Kimila iko hivyo, lakini sheria ya serikali ambayo iko juuu ya sheria ya kimla when there is a conflict between the two, haikusaidii hata ukigombea maiti. Mke/mume ana mamlaka ya mwisho juu ya mwili wa mke/mume wake!