Kwanini watu wanafumba macho wakati wa kubusiana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini watu wanafumba macho wakati wa kubusiana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mtoto wa mfugaj, Aug 22, 2011.

 1. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uzoefu unaonyesha watu wengi hufumba macho wakati wa kupiga denda na wakati wa kubusiana,kama unabisha jaribu kupiga busu uone kama hautafumba macho,swala ni kwanini naombeni majibu
   

  Attached Files:

 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wanaongeza hisia zaidi.
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Zile feeling unazozipata wakati unafanya kile kitendo so nice one
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  funny but interesting question lqwm...
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  we ulitaka ukodoe???
   
 6. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kuna makauzu zaidi ya dagaa macho kodo
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  an interesting question anyway.............................
  lakini huku kufumba macho ni kwa jinsia zote au vipi?nadhani akina dada ndo huwatokea sana hii................
  tuendelee kusikiliza........
   
 8. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hao hufanya ngono zaidi, sio mapenzi yenye mahaba.
   
 9. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hiyo inatokea automatically, ukifunga macho unaondoa mambo yote unayoweza kuyaona na kuweka concentration yote kwenye utamu wa kicho kitendo cha kula denda.
  Sio tu wakati wa kubusiana, ila wengine hata tukiguswa zile sehemu ambazo zinasisimua, tunajikuta tunafunga macho.
   
 10. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  macho ndo kila kitu sasa inategemea unabusu wapi au nani lkn ukibusu usiku gizani ufumbi macho . Nahisi tunaogopa yatapasuka kwa mvu5 wa busin'
   
 11. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  denda.jpg

  denda..jpg
  Hizi mkuu zinakuwa nahisi kwenye mishipa ya fahamu!
   
 12. N

  Ndoano Senior Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  ukikutana na mwanamke mwIZI huwaga afumbi macho
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  raha bwana! Macho yanaondosha feelings za mapenzi.
   
 14. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni kuongeza mahisia mkuu,ukifumbua macho mkuu hisia zinapungua jaribu uone,labda iwe ni mke wa mtu au ni demu umebambia kitaa uchochoron ndio utafumbua macho kuogopa fumaniz
   
 15. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kwa sisi wataalam wa malavidavi hii inaonyesha true love, hata siku moja jambazi wa mapenzi hawezi kufunga macho yake anapokiss. There is an old saying 'never trust a man or a woman who doesnt close his or her eyes when you kiss.'
   
 16. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  mh..mie hata sijawahi kufikiria kama nimefumba au fumbua macho. Need to research on this, Anyways ni swali zuri ngoja tuwasikilize wajuzi zaidi
   
 17. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Wanafanya dhambi that's why kila mmoja wao anavumba macho akijifanya haoni kumbe cc tunaona!!!.......
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Siku akishuka wangu kutoka mbinguni nitakodoa nijue inakuaje!
   
 19. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ni kwa wote haina ubaguzi kama picha zinavyoonyesha
   
 20. B

  Bubinza Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashangaa Lizzy hajachangia hapa.
   
Loading...