Kwanini watu wanafumba macho wakati wa kubusiana?

Its natural, wanasema "never trust a woman whom when you kiss does not close her eyes''
 
...........kiasili denda inabidi liliwe gizani sasa kufumba macho ni kujaribu kutengeneza giza
 
mmmmh actually hisia ndo zinazosababisha aisee sijawahi ona mtu anafumbua macho anga zile.it was so nice jaman
cause huwa unajikuta tu unafumba macho dah ni noumer
 
Back
Top Bottom