The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Inaonekana ulipata insult wakati wa utoto wako. You need healing power man.Siwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .
Sent from my iPhone using JamiiForums
hiki kizazi cha pornography kinahangaika sana na ulimwengu. umeongea points Mago, big up.Duuh ndoa unafananisha na kununua Malaya???
Ndoa ni zaidi ya sex, ndoa ni ujenzi wa familia na zaidi ya yote ni kutimiza agano na kuijaza dunia to keep it going. Kuna majukumu mengi ya mke/mume ni kwa ajili ya familia sex inakuwa chachandu tu ndani ya haya yote.
Umekuwa na mawazo mafupi mnoo labda kwa sababu ya utoto...
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ipo karne zote.Naona unajaribu kuhalalisha biashara haramu mkuu.
Wanawake sio wa kuonea huruma. Ni kuwala tu.Siwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .
Sent from my iPhone using JamiiForums