Kwanini watu wafupi hawazeeki haraka?

Kwanini watu wafupi hawazeeki haraka?

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
581
Reaction score
666
Hivi ni kwanini watu wafupi hawazeeki haraka ukilinganisha na warefu, kuna sababu zozote za kibaiolojia?
 
hivi ni kwanini watu wafupi hawazeeki haraka ukilinganisha na warefu, kuna sababu zozote za kibaiolojia?
shut up!!!!!!!!!! No reseach no right to speak. Au wewe ni mmoja wa wale 60% ?
 
Hivi ni kwanini watu wafupi hawazeeki haraka ukilinganisha na warefu, kuna sababu zozote za kibaiolojia?

umesahau mkuu halafu vijitu vifupi huwa vyeusi tiii vibishi kweli havikubali kushindwa hahahhahahahhah
 
Kuna pepo gani humu anae waandama watu weusi wafupi? Lkn naona hapa unawasifia sio mbaya...
 
Kweli kabisa hii kitu majayanti wanazeeka kwa speed nilikuwa nareview growth kwenye biology nikakuta hiki kitu aisee.
 
Hivi ni kwanini watu wafupi hawazeeki haraka ukilinganisha na warefu, kuna sababu zozote za kibaiolojia?

It is all about approaching the sun, when you grow up you seem to come nearer and nearer the sun so you get burnt and hence exhaust, and getting exhausted means getting older and older compared to short people.
 
Hizi mada zinaninyima amani sana! Kule MMU kuna mada kutuhusu, basi mtufungulie makambi tujue moja!
 
Hivi ni kwanini watu wafupi hawazeeki haraka ukilinganisha na warefu, kuna sababu zozote za kibaiolojia?

Unaposema hawazeeki sielewi unamaanisha nini! Mi nafikiri uzee sio kuchoka viungo vya mwili bali kinacho mweka kiumbe yeyote katika kundi la uzee au ujana ni umri na sio mwonekano. Ni kwa kigezo hiki nchi nyingi duniani watumishi wa umma hutakiwa kustaafu katka umri fulani bila ya kuzingatia maumbile au mwonekano wa umbo lake.
 
Huyu jamaa inawezekana anasema ukweli manake ukicheck wikipedia utaona zile nchi ambazo watu wao ni wafupi kama vile Japan,hongkong and iceland life expectancy yao ni kubwa inarange kwenye 79 to 82 years japo kutakua kunafactors nyingine.
 
It is all about approaching the sun, when you grow up you seem to come nearer and nearer the sun so you get burnt and hence exhaust, and getting exhausted means getting older and older compared to short people.

Brilliant
 
Moyo una pump damu umbali mfupi sana kwa watu wafupi ila kwa watu warefu moyo uleule hutumika kusukuma damu sehemu za mbali zaidi. Na kumbuka damu ndio inayopeleka chakula sehemu zote za mwili na hivyo moyo unapochoka efficiency ya usambazaji inapungua na hivyo mtu kuanza kufifia taratibu na hapo uzee uanza kuonekana. Tofauti na mtu mfupi ambaye moyo wake unabakia kuwa efficient hadi akiwa beyond 70s. Hiyo ni dondoo mojawapo
 
Back
Top Bottom