Kwanini watu hupenda kufua nguo za ndani bafuni?

Km ni kitu nashindwa kufanya mda naoga ni kufua chupi
Huwa naweka za wiki au siku kadhaa km nna mda naloweka nafua naanika nje zote
Then napiga pasi km nikipata muda
 
Kwa Africa Chupi ni nguo inayoheshimika sana, mtu akiona chupi ya mama imeanikwa nje ni kama matusi.

Mwema huifua bafuni na kuanika ndani na kama ni fangasi anaipiga pasi ili kuua wale backteria.

Mimi binafsi nikienda nyumba ya mtu na kukuta chupi zimeanikwa nje huwa siingiagi.
 
Nyingi ya nguo za ndani za akina mama pale kati huwa kama ngozi ya fisi hivyo wakianika nje kungulu lazima waruke nayo
 
Mara nyingi sehemu wanazoanika chupi nje.. hukumbwa na kiangazi sana.
Piga picha wafulie nje na kuanika nje.
 
Kuanzia kesho nitamwambiaShemeji yenu akafulie nguo za ndani Car Wash
 
Wanafulia ndani pia wanaanika ndani duuu hiii shida

nawashauri tuu msiwe mnaanika kwenye nondo za madirisha mtapata fangasi
sio fungus bali ni tetenas (teh sijui nimeandika sawa)?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom