Kwanini watu huoa na kuolewa?

Kwanini watu huoa na kuolewa?

Moja ya sababu ya kuoa au kuolewa ni upweke. Wengi tuna amini ukioa unapata mfariji na msaidizi. Imagine umeo afu kunamtu anakwambia isihofu baby yataisha. Ha ha its so lovely. Ila tu utainjoi kama umepata mtu anayekupenda kwa moyo moto

kwa nn huko ndoani ndo kumekua mstu wa kila zinaa, wanaume wanachepuka na wake za watu na mabinti ambao pia hawajaolewa wanaurubuniwa, wanawake pia wanachepuka na waume za watu na vijana wadogowadogo sasa hiyo enjoymen ya kwenye ndoa huwa imeishia wapi bro
 
mlioko kwanye ndoa kwa nn mlioa/mliolewa?
 
kwa nn huko ndoani ndo kumekua mstu wa kila zinaa, wanaume wanachepuka na wake za watu na mabinti ambao pia hawajaolewa wanaurubuniwa, wanawake pia wanachepuka na waume za watu na vijana wadogowadogo sasa hiyo enjoymen ya kwenye ndoa huwa imeishia wapi bro
Ndiomaana nimesema ukimpata anayekupenda kweli
 
Wengi hapa wanamumunya maneno tuu. Kiukweli hakuna sababu yoyote ya msingi ya watu kuoana. Ni utaratibu tu ambao jamii zimeendelea kurithishana lakini ukiangalia kwa undani, hamna chochote unachopata ndani ya ndoa ambacho usingeweza kukipata bila ya ndoa.. Wapo mamilioni ya watu hawajaoa/olewa na wana watoto, wana maisha yao mazuri tuu na wanapata sex wakati wowote wakihitaji.
 
Mkuu nimegundua mamilioni ya wanandoa hawajui sababu zilizowafanya kuoa/kuolewa kwao NA HII NDO SABABU YA NDOA NYINGI KUUNJIA COZ WATU WANAINGIA TUKAMA FASHION HENCE INAPOKUA OUTDATED NDOA PIA INAKUA OUTDATED
 
Leteni sababu huku na usiweke hoja dhaifu kama za mawakili wa serikali wanavyokutana na lisu
 
Naturally binadamu hawakuumbwa waoane. Hili ni swala ambalo tumelitengeneza na kulifosi ili kulinda baadhi ya interests za jamii zetu na ndio maana limekua na matatizo kila kukicha. Ndio maana baadhi ya jamii zilizostaarabika wamesha achana na haya mambo na hata inapotokea wakaoana ni kwa muda tuu wakichokana kila mtu anashika hamsini zake..
 
"Mungu akaona si vema mtu huyu kua peke yake akamfanyia msaidizi wa kufanana nae"
 
"Mungu akaona si vema mtu huyu kua peke yake akamfanyia msaidizi wa kufanana nae"
msaidizi wa kufanana naye ni jukumu tofauti kabisa na kuoa/kuolewa swali linataka sababu za kuoa/kuolewa
 
Binafs naweza sema kuoa au kuolewa ni automatic feelings /natural,baina y mme/ke,
Mahusiano yanapokua matamu zaid wawil nyie mnatamani mfike mbli zaid,kama mlikua mnabanwa home muanzw kua huru,mpange maish yenu etc .Hyo ndio sbb watu wanaamua kuoa /kuolewa
nimekupata
 
kwani kuna mabachelor wanapi wapunguzao genye bila kuoa hata wanaopunuza nje ya ndoa zao
Unajua unapokuwa nae ndani kdogo gharama huwa znapungua kulko akiwa mbali,afu pia unaepusha magonjwa kwan akiwa mbali anaweza chepuka hovyo hovyo
 
Inajionesha dhahiri kabisa uko mbali na Biblia Takatifu na Kanisa kwa ujumla
 
"ningependa watu wote wawe kama mimi (paulo) single. lakini kutoka na matamanio ya miili yenu basi na kila mtu aoe mke"...huo ni waraka wa paulo. so if this is true.
TUNAOA KWA SABABU MIILI YETU INA TAMAA SO TUNATAKA KILE KITU TUKIPATE ANYTIME TUTAKAPOJISIKIA....NDO MAANA INAITWA "NDOA" NA LILE LINAITWA "TENDO LA NDOA"......AND THAT'S RSHIP IS EATING AND SEXING NOTHING MORE......HAYO MENGINE NI MBWEMBWE TU.
well
 
Back
Top Bottom