Kwanini watu huoa na kuolewa?

Kwanini watu huoa na kuolewa?

Wanigiza tu, ID ni feki na ndoa pia feki.wanaleta story za wapenzi wanaitana mke na mume..Wanaleta malalamiko ya kwenye ndoa wakati ndoa hawana(wanaishi na eapenzi), wanaizungumzia ndoa utasema wameshaingia ndani ya ndoa, wanaijua ndoa utasema ni wake/waume za watu.

Ndoa ndo kila kitu mkuu, jamii haiwezi kukupa heshma kama huna mke/mume, hata uvae vizuri, upendeze kiasi gani na smart vipi kama huna ndoa jamii itakuona wewe ni muhuni au labda sio rizki pamoja na usmart wako.
basi wanandoa humu jf tunaomba muache kututisha kwa kuleta malalamiko mengi ya ndoa humu ndani
 
kwa kuzijua zitanisaidia kuwa baba mwema na mwaminifu kwa mke wangu
Sawa mkuu nimekuelewa, mijadala mingi kama hii imeishia kwamba hakuna haja ya kuoa, ni vile mtu unaamua kuishi binafsi na maisha yako unaweza kuoa au kuolewa kwamba ndoa ndo chanzo cha matatizo yote duniani. Ni bora kuwa huru kuliko ghasia na kero za kwenye ndoa.

Mtu anaikataa ndoa lakini mambo yote yanayofanywa ndani ya ndoa anayajua na anayafanya mtaani kwa kujivunia lkn hataki ndoa sababu atakosa uhuru.
 
ofcourse expeperience za watu walio ndani ya ndo zingeusaidia tulio na shauku to change the situations when run worse in marriage
 
sasa inapofikia hadi kusalitiana, mama au baba kulea watoto wasio wake, ule upendo mliojinasibu nao huwa umetowekea wapi?
 
Wana jf naomba kujuzwa sababu hasa inayotufanya kuoa/kuolewa au kwa wale walio kwenye ndoa kwa nini umeoa/kuolewa?, mimi ni kijana mwenzenu ambaye nipo katika mchakato wa kutafuta mwenza, lakini kutokana na mabandiko kadha wakadha hapa jf inaonesha ndani ya ndoa kuna misigishano mingi mno inayopelekea watu kuchit, kulea watoto wasio wao pia wakati mwingine na mengine mengi sasa ule upendo ninaousikia huwa umeenda wapi?

Kwa hali ya kawaida mtu unaweza fikiri nina matatizo kuleta uzi huu ila kuna watu wameoa/kuolewa wasijue kwa nini walifikia maamuzi hayo? (kuoa/kuolewa) kama umeoa/kuolewa naomba sababu ya:-

i) Kwanini umeoa? Kwanini unafikiri kuoa?

ii) Kwanini umeolewa? Kwanini unafikiri kuolewa?

Tafadhali fikiri kabla ya kujibu then unisaidie kwa namna ya kunijenga na siyo kunibomoa ili vijana wengine wafaidike pia.

View attachment 417422
Sijawai kuwaza wala kufikilia kitu kama hicho......
 
mkuu
leo hii utasikia baba katembea na bint yake hahici kujuana sio sababu. samahani lakini
bila ya kujuana mkizaa watoto sehemu mbalimbali siku hao watoto watatongozana bila kujuana km ni ndugu nao watazaliana halikadhalika baba atazaliana na mwanae yote haya yanakuja kwasababu hatujaoana kwa kufahamiana KOO unayooa /kuolewa.
 
kama ni kujuana koo zetu basi kuulizana ni jambo boa zaidi kuliko kujuana kwa sababu ya kuoana
pia kwa nini mama analala na mwanae if that is the case labda nikupe kaushuhuda nilienda mkoa fulani huko vijijini nikakuta kuna vifo vya marehemu wawili wa familia moja yaani mama na mwanae, mtoto alikula uroda kwa mama wakiwa wamelewa hadi mama akafa, then wale ndugu wakamumalizia kaka yao aliyeshrki na mama yake
SASA KAMA NI KUJUANA TU HAWA SI WALIKUWA WANAJUANA
 
Nilioa kwanza ili nipate mapenzi kwa urahisi na muda wowote nikiwa na hamu, pia nilioa ili nipate msaidizi ndani ya nyumba yangu, na mwisho nilioa ili nipate watoto.
Hili ni mojawapo ya majibu mazuri
 
Kwa imani ya dini nyingi kushiriki tendo la ndoa na mtu ambaye si mke wako kisheria ni 'kuzini' kuvunja amri mojawapo ya mungu kwahiyo ni dhambi,kwahiyo sasa mtu anaoa ili asizini,pili ili kuwa na familia kuna leo na kesho inabidi uwe na watoto ambao ndo warithi wako na mwisho upate mwenza ambaye mtasaidiana kutatua kero mbalimbali katika maisha ya kila siku kumbuka kidole kimoja hakivunji chawa.Ila bado nipo nipo sanaaaaaa.
 
Kwa nini walioko ndoani wanaongoza kwa kuchepuka?
 
kama ni kujuana koo zetu basi kuulizana ni jambo boa zaidi kuliko kujuana kwa sababu ya kuoana
pia kwa nini mama analala na mwanae if that is the case labda nikupe kaushuhuda nilienda mkoa fulani huko vijijini nikakuta kuna vifo vya marehemu wawili wa familia moja yaani mama na mwanae, mtoto alikula uroda kwa mama wakiwa wamelewa hadi mama akafa, then wale ndugu wakamumalizia kaka yao aliyeshrki na mama yake
SASA KAMA NI KUJUANA TU HAWA SI WALIKUWA WANAJUANA
hao walikusudia tu....
nachosemea ni baba kazaa na barmaid kasepa huku kamuacha na mimba then alipokuwa safari alizaa na mtoto wa kwanza wa barmaid huko safarini napo akasepa sas watoto hao waliotelekezwa siku wakikua wakakutana nakupendana kisha kuzaa pamoja ndipo hutokea mfarakano wa kuzaliana wao kwa wao bila kujijua
 
Kwa nini walioko ndoani wanaongoza kwa kuchepuka?
Ni kutofautiana kwa mke na mume,inaweza kutokana na mmoja wapo kutomridhisha mwenzie kindoa,au tabia ya 'umalaya' ya mmoja wapo iliyojijenga kwa mda mrefu hata kabla ya ndoa.
 
Ukipata majibu uulize na kwanini watu wanachepuka😱😱😱
 
Wana jf naomba kujuzwa sababu hasa inayotufanya kuoa/kuolewa au kwa wale walio kwenye ndoa kwa nini umeoa/kuolewa?, mimi ni kijana mwenzenu ambaye nipo katika mchakato wa kutafuta mwenza, lakini kutokana na mabandiko kadha wakadha hapa jf inaonesha ndani ya ndoa kuna misigishano mingi mno inayopelekea watu kuchit, kulea watoto wasio wao pia wakati mwingine na mengine mengi sasa ule upendo ninaousikia huwa umeenda wapi?

Kwa hali ya kawaida mtu unaweza fikiri nina matatizo kuleta uzi huu ila kuna watu wameoa/kuolewa wasijue kwa nini walifikia maamuzi hayo? (kuoa/kuolewa) kama umeoa/kuolewa naomba sababu ya:-

i) Kwanini umeoa? Kwanini unafikiri kuoa?

ii) Kwanini umeolewa? Kwanini unafikiri kuolewa?

Tafadhali fikiri kabla ya kujibu then unisaidie kwa namna ya kunijenga na siyo kunibomoa ili vijana wengine wafaidike pia.

View attachment 417422
Moja ya sababu ya kuoa au kuolewa ni upweke. Wengi tuna amini ukioa unapata mfariji na msaidizi. Imagine umeo afu kunamtu anakwambia isihofu baby yataisha. Ha ha its so lovely. Ila tu utainjoi kama umepata mtu anayekupenda kwa moyo moto
 
Back
Top Bottom