Kwanini watu hufunga macho wakati wa kupiga busu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini watu hufunga macho wakati wa kupiga busu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by wehoodie, Oct 17, 2012.

 1. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  Katika tafakari legelege, nimejiuliza kwanini....nimejikuta na haya majibu

  Je wana-kijiwe pia mwafunga macho mkicheza mechi za vinywa pia?? Sababu nini? au ni reflex tu....

  [​IMG]

  [​IMG]

  Sababu za kufunga macho wakati wa busu...

  1. Hutaki kujiona ulivyo wakati wa kupiga busu hasa la kifrench, vivyo hivyo mwenzi wako;
  2. Ubongo hauwezi ku-zungusha ulimi wakati huo huo kupepesa macho....yaani kama vile kusema...Mpaka, Mkata, Msata haraka haraka..your brain cant just do that.

  3. Ni vigumu (ufanisi hafifu)kubusu ukiwa macho wazi na pia ni ajabu kutoa miguno ya busu macho wazi;
  4. Mfumo wa macho hautaki kuangalia kitu kwa ukaribu kiasi hicho;
  5. Kwa wanawake, inakuharibia utaratibu mzima wa kuvuta taswira una-mbusu C.Ronaldo wakati unaemuona mbele yako ni Wasira;

  6. Kwa Wanaume, kama unabusu baada ya kupiga raundi kadhaa za main course angalau inakuwa rahisi kufikiria mambo mengine kama mpira n.k. ukiwa umefumba macho;
  7. Ukiwa macho wazi pua ya mpenzi wako inaonekana kubwa kama Pua ya Lori-basi.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  sababu 'Charles na Kate' walifumba macho wakati wanabusiana siku ya ndoa yao.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Nimekulike sema natumia Nokia Mchina heh hee
   
 4. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mmmh...kusikilizia utamu wa tukio..
   
 5. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  mimi sijawahi kufumba macho!
   
 6. d

  debon Senior Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nsipofumba macho sihisi kitu. Na nkifumbua hamu ya kubusu inaisha
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Naogopa atanibamba SIJAFUNGA MACHO!!!!!! incase akiamua kucheki kama VITUZ vimenikolea!!!! LOL!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mcho lazima yafumbwe ili kusikilizia utamu
   
 9. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,056
  Likes Received: 7,079
  Trophy Points: 280
  Sababu namba tano na namba saba zimeniacha hoi kwakweli.
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mi mbona nafumbua tu vizuri
   
 11. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Weweee....I thought you do it for you, not for the other person.
   
 12. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Never trust a person when you kiss open her/his eyes
   
 13. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Wanaogopa harufu mkuu wengine harufu z a vinywa zinaingia mpaka machoni

  mwisho utauliza mbona tukimwaga twabana na makalio sasa loh
   
 14. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  bcoz of gravitational force
   
 15. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  mkuu huzikubali au?
   
 16. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG][​IMG]

  [​IMG][​IMG]

  Likini kweli, Hii thread ina ukweli wake
   
 17. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kusikiliza utamu wa busu.
   
 18. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  For you ndio ila lazima uwe na ubinadamu wa kumconsider mwenzio, manake wanaume akiweka maujanja lazima akague yanaleta matokeo gani, sasa akinifuma mijicho kodo atakosa amani bureee! Ndo nafumba nisibambwe hivooo! lol!
   
 19. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Te te te...
   
 20. m

  maisara Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unavuta hisia.
   
Loading...