Kwanini watu hufunga macho wakati wa kupiga busu??

Anayebusu huku kafumba macho kweli anakuwa na hisia na hayo mabusu ila kwa ambao huwa hawafumbi macho mara nyingi ni vimeo, yani unabusiana na Mwajuma huku unakodoa macho kuangalia kama kuna demu wako mwingine yupo maeneo hayo, lol!
 
Ubongo hufanya kazi vizuri kama kuna concentration ya kufanya tendo moja kwa wakati mmoja.ili kuupa mwili matokeo bora.
Kama ilivyokuwa Huwezi kuangalia Tv wakatihuohuo unasoma novel.Macho na ulimi ni moja ya milangoo saba ya fahamu. Hata ukiwa una sex wakati huohuo unaangalia taarifa ya habari kwenye TV.Lazima ufungemacho ili mwili upate feedback nzuri
 
Toa mijicho wakati unapata kisi alafu jipigeni picha.Alafu muidiscus picha mtagundua kitu
 
Kwa sababu utamu hunoga mpaka macho hujifunga yenyewe...jaribu kula denda huku ukiwa umekodoa macho uone kama utamu utakuwa ni ule ule.



 
Last edited by a moderator:
Katika tafakari legelege, nimejiuliza kwanini....nimejikuta na haya majibu

Je wana-kijiwe pia mwafunga macho mkicheza mechi za vinywa pia?? Sababu nini? au ni reflex tu....

images


images


Sababu za kufunga macho wakati wa busu...

1. Hutaki kujiona ulivyo wakati wa kupiga busu hasa la kifrench, vivyo hivyo mwenzi wako;
2. Ubongo hauwezi ku-zungusha ulimi wakati huo huo kupepesa macho....yaani kama vile kusema...Mpaka, Mkata, Msata haraka haraka..your brain cant just do that.

3. Ni vigumu (ufanisi hafifu)kubusu ukiwa macho wazi na pia ni ajabu kutoa miguno ya busu macho wazi;
4. Mfumo wa macho hautaki kuangalia kitu kwa ukaribu kiasi hicho;
5. Kwa wanawake, inakuharibia utaratibu mzima wa kuvuta taswira una-mbusu C.Ronaldo wakati unaemuona mbele yako ni Wasira;

6. Kwa Wanaume, kama unabusu baada ya kupiga raundi kadhaa za main course angalau inakuwa rahisi kufikiria mambo mengine kama mpira n.k. ukiwa umefumba macho;
7. Ukiwa macho wazi pua ya mpenzi wako inaonekana kubwa kama Pua ya Lori-basi.

Because the beautiful thing are not seen
like
kissing..........
praying.........
sleeping........
pising'i..........
 
Busu kwa mkeo halina shida uwe macho au la.Lakini busu la mpango wa pembeni limekaa kizushi, ushahidi wa dhambi na nndio maana unafumba macho kama uko gizani.
 
For you ndio ila lazima uwe na ubinadamu wa kumconsider mwenzio, manake wanaume akiweka maujanja lazima akague yanaleta matokeo gani, sasa akinifuma mijicho kodo atakosa amani bureee! Ndo nafumba nisibambwe hivooo! lol!

Ila wewe lara 1 unaonekana unayajua sana mavituuz,haki ya mama coment zako zimenihamasisha hebu nambie tukutane wapi,kwa sababu nimetoka kwenye Thread yako ulionususrika kwa wachina baada ya kumtoroka Mchaga na huku tena unamwaga vitu,haki ya mama unayjua nambie nikutafutie wapi!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom