Kwanini watu hawazamii au kuloea nchini India

Kwanini watu hawazamii au kuloea nchini India

Salaam JF
Naomba kuuliza Kwanini ni nadra sana kusikia watu wanaloea au kutaka Kuzamia nchini India tofauti na nchi kama South Africa au barani Ulaya?
Kama issue ni ubaguzi mbona nchi kama Hispania na nyingine za Ulaya ubaguzi upo?
Mbona watu wana fanya biashara China na si nchi hii ambayo inamuingiliano mkubwa sehemu nyingi za Africa?
India shida zao kama huku kwetu tu, ubaguzi wao si kwa watu wa kuja tu, bali unaanzia wenyewe kwa wenyewe. Mila na desturi zao pia zinachangia
 
Salaam JF
Naomba kuuliza Kwanini ni nadra sana kusikia watu wanaloea au kutaka Kuzamia nchini India tofauti na nchi kama South Africa au barani Ulaya?
Kama issue ni ubaguzi mbona nchi kama Hispania na nyingine za Ulaya ubaguzi upo?
Mbona watu wana fanya biashara China na si nchi hii ambayo inamuingiliano mkubwa sehemu nyingi za Africa?
Lile taifa ni maskini kuliko nchi nyingi za kiafrika
 
Aiseee nani kakuambia mhaya akina kabila lingine anatengwa??hii mifano mingine mnayoiweka humu muwe na uhakika nayo.sio mnasikia tu vijiweni basi mnaleta has kama mifano.WA haya wameoa na kuolewa sana na makabila tofauti
suala la untouchables lipo kiimani(kidini)ingawa ni suala baya na mimi binafsi nalichukia,kuhusu ubaguzi hiyo ni worldwide kwa mfano mhaya akioa mtu wa kabila jingine(wao wanawaita wanyamaanga)anaweza kutengwa na ukoo mzima,kiufupi hata hapa ubaguzi wa kikabila na kidini upo sana na nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa kusikia.
Anyway kila jamii ina pros and cons zake Indians aren't angels.
 
Kwa waliobahatika kutembea kama mimi, wahindi duniani kote utumikishwa ispokuwa afrika,
Wahindi maisha magumu nao wanazamia nchi za wengine, na wameshtukiwa hasa kwa nchi zinazoizunguka india na nyingine ambazo ni visa free kwa india wakifika mpakani wanaulizwa na kurudishwa kwao maana wanakua wanatoroka, Nenda Hongkong nenda Macau, Nenda singapore, malaysia na dubai, wahindi na wabangladesh (wabangalee) wanateseka sana na ni waoga sana,

Ukiwauliza kwanini msirud kwenu anakwambia mara mia nitumikishwe hapa kuliko kurudi india,

Nimeishi nao wabaguzi, wanasengenya, ikija tatizo wana kuomba uwasaidie kama kuongea kwenye mamlaka mbali mbali,

Nimewakumbuka kina Shabiri, Hasanine hansaare na wengine pale Moscow nilikaa nao sana

luambo makiadi Jon Stephano
 
Ila wahindi kutoka India hawako wengi sana Skendinevia/nordic. Wengi walioko nordic nikutoka Nepal, Pakistan na Bangladesh
 
Mzee tupe mrejesho wa lile tandam la twoo
Dah kifaa changu
FB_IMG_1540326512707.jpg
FB_IMG_1540326534783.jpg

960full-alex-larosa.jpg
 
Aiseee nani kakuambia mhaya akina kabila lingine anatengwa??hii mifano mingine mnayoiweka humu muwe na uhakika nayo.sio mnasikia tu vijiweni basi mnaleta has kama mifano.WA haya wameoa na kuolewa sana na makabila tofauti
nimekulia uko Bukoba na wahaya nawajua mazuri na mabaya yao hivyo haya mambo ninayoandika ni first hand experience sio stori za vijiweni.
Ubaguzi huu sio kwa familia zote maana kuna wengine wamestaharabika hawana haya mambo.
Kataa usikatae wahaya wengi na wanyambo pia wana chuki na ubaguzi mkubwa kwa watu wa makabila mengine(wanyamaanga) ingawa hujitaidi kuficha uovu huu.maeneo ya Rubya,Muleba na Karagwe napajua sana.
Wanshobokelwa Mkulu?
 
Toka lini masikini utake kwenda kuishi kwa lofa mwenzako ,Wahindi wanatamba huku kwetu tu lakini kwao ni afadhali hata huku kwetu

mbona mnakimbilia huko kwao kutibiwa kama wao wako malofa na unasema afadhali ya hapa kwanini usiwazuie wanaokwenda kutibiwa huko ulofani
 
Lile taifa ni maskini kuliko nchi nyingi za kiafrika

umeishia darasa la ngapi india inatengeneza kila kitu duniani unachoona wewe wao wana viwanda vya kila kitu magari bidhaa za aina zote unalinganisha na nchi gani tanzania huyo muhindi mmoja tu anakuja kufungua vifaa vya electronic kwenye kampuni ya mengi ipp
 
India wana 'caste' system ambapo mtu mweusi hupewa hadhi sawa na mbwa! Sasa utaenda huko?
 
watu wamekaririshwa kuwa Wahindi ni wabaguzi hivy kuogopa kwenda uko.
Pia uchumi wa India unawatosha wahindi wenyewe sababu wapo wengi,sio kama uchumi wa china ambao una outfit population yao.
There are no friendly people like INDIANS
LIVE LONG BHAHARAT
mera naam Khan hain
Si kweli urongo mtupu[emoji14]
 
Back
Top Bottom