Kwanini watu hawazamii au kuloea nchini India

Kwanini watu hawazamii au kuloea nchini India

Sasa kama watu wanafunga mtaa ili walale kwasababu hawana makazi!hiyo nchi ya kuzamia kweli??? Hii ni moja ya nchi ambayo ina pengo kubwa kati ya matajiri na maskini!!!Kuna maskini wa kutisha kweli kweli pengine hata Tanzania hawapo na kuna matajiri kweli kweli!!!kinachonifurahisha wameshayajua matatizo yao na wana mipango mizuri ya kuvuka Hapo walipo sio kama sisi huku!!!natarajia in future days India itakuwa mbali kiuchumi kwa Taifa na raia wake
 
Hakuna jipya kule....ni mara 3 ya hapa bongo. Nadhani waweza pata picha sasa....
 
Ni wabaguzi wakutupwa, wao kwa wao wanabaguana hata kwenye biashara wanabaguana ni wao walio na kundi la untouchable hawa hawaruhusiwi kuona au kuolewa na wastaarabu, hapa ukizaa na mhindi watamtenga hata maiti yake wataitenga! Hapa waswahili wapi kila eneo ukimuona mhindi uswazi ujue kuna dili na mswahili, mkaribishe na familia yake aje kwako ng'o! Haji atatoa visingizio vya kila aina.
suala la untouchables lipo kiimani(kidini)ingawa ni suala baya na mimi binafsi nalichukia,kuhusu ubaguzi hiyo ni worldwide kwa mfano mhaya akioa mtu wa kabila jingine(wao wanawaita wanyamaanga)anaweza kutengwa na ukoo mzima,kiufupi hata hapa ubaguzi wa kikabila na kidini upo sana na nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa kusikia.
Anyway kila jamii ina pros and cons zake Indians aren't angels.
 
India kuna njaa kama ya huku Afrika tena wao imezidi ukiongezea na inshu ya ubaguzi panakuwa ni akhera kabisa kwenda hapo mahala.....usije ukathubutu.
 
Wanaoangalia indian movies kwa sana ama wanaofanya kazi kwa singasinga ndio wanaougua kwenda huko.
 
Wao wenyewe wanakimbia kwao, wewe uende kutafuta nini? Kwa kifupi huko hakuna fursa ndio maana watu hawana mpango wa kuzamia India.

Kuna wadada nawajua niliwakuta kule wanadanga ...wako vizuri
 
wasenge sana hawa watu yaani nilikua nafanya kazi kwa muhindi kota za sunflag njiro arusha as a driver kwa muhindi, cha ajabu alikua ananitolea nguo zake nifue, nguo zenye kimba za mtoto, kuna siku alitoa hadi boxer yake nifue... mamamaaayeeee
nikachukua laptop yake nikasepa mazima
mishahara yenyewe ya kidwanzi tu eboo
 
Hapo juu nimeona Wahindi ni 1.3 b wachina ni 1.4 b je dunia nzima binadam tuko wangapi nisaidieni please
 
Wahindi ni wabaguzi na asilimia kubwa maskini.wao wenyewe wanazamia kuja bongo.
 
Salaam JF
Naomba kuuliza Kwanini ni nadra sana kusikia watu wanaloea au kutaka Kuzamia nchini India tofauti na nchi kama South Africa au barani Ulaya?
Kama issue ni ubaguzi mbona nchi kama Hispania na nyingine za Ulaya ubaguzi upo?
Mbona watu wana fanya biashara China na si nchi hii ambayo inamuingiliano mkubwa sehemu nyingi za Africa?
Toka lini masikini utake kwenda kuishi kwa lofa mwenzako ,Wahindi wanatamba huku kwetu tu lakini kwao ni afadhali hata huku kwetu
 
Wapo wanaozamia, au kwanza toa maana ya kuzamia.. Maana wapo watanzania wamezamia Msumbiji na wapo watu wa Msumbiji wamezamia Tanzania..

Sema idadi sio kubwa au haitangazwi tangazwi
 
Back
Top Bottom