Kwanini watu hawampendi Rais Magufuli?

Tumia akili,hakuna MTU duniani anayependwa na kila mtu,na pia hakuna anayechukiwa na kila mtu.
 
Najua tulipiga kura na tukamchagua Mh Rais John PombeMagufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa kipindi cha miaka 5.
Lakini kila siku zinavyokwenda hali inazidi kubadilika ukipita vijiweni watu wanaongea na kumlaumu Mh Rais!
Nashindwa kuelewa hali hii inatokana na nini??ukilinganisha hii nchi ilipokuwa imefika hakuna njia iliyokuwa imebaki zaidi ya kumpata mtu ka Mh Rais Magufuli! Ajabu leo watu wanalaumu sana sasa sijui kwanini wanalaumu kwakuwa yote anayafanya ni mema!
Je nikweli mnaolaumu mlikuwa mnafurahi kuona tunaibiwa madini yetu??je mlitaka kuendelea kuwepo wafanyakazi hewa??
Je mlilidhika na utendaji mbavu usiozingatia maadili?
Najua kwa haya nikama kutia mafuta katika moto!
Hila ukweli nikwamba raia wanamchukia Rais wangu nikiangalia sioni sababu! hivyo mengi anayafanya na anaendelea kuyafanya.
Kwa nini una amini watu hawampendi ? Kwa ushahidi gani !?
Tuanzie hapo .....@kakakiiza
 
Kwa nini una amini watu hawampendi ? Kwa ushahidi gani !?
Tuanzie hapo ..... @kakakiiza
Moja niyeye Mh Rais kulitamka hilo!
Pili kila unapopita vijiweni na sehemu za kazi hakuna anayemuongela vizuri kitu ambacho kwa mimi najisikia vibaya
hata katika mitandao ingia hata humu JF.
 
Najua tulipiga kura na tukamchagua Mh Rais John PombeMagufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa kipindi cha miaka 5.
Lakini kila siku zinavyokwenda hali inazidi kubadilika ukipita vijiweni watu wanaongea na kumlaumu Mh Rais!
Nashindwa kuelewa hali hii inatokana na nini??ukilinganisha hii nchi ilipokuwa imefika hakuna njia iliyokuwa imebaki zaidi ya kumpata mtu ka Mh Rais Magufuli! Ajabu leo watu wanalaumu sana sasa sijui kwanini wanalaumu kwakuwa yote anayafanya ni mema!
Je nikweli mnaolaumu mlikuwa mnafurahi kuona tunaibiwa madini yetu??je mlitaka kuendelea kuwepo wafanyakazi hewa??
Je mlilidhika na utendaji mbavu usiozingatia maadili?
Najua kwa haya nikama kutia mafuta katika moto!
Hila ukweli nikwamba raia wanamchukia Rais wangu nikiangalia sioni sababu! hivyo mengi anayafanya na anaendelea kuyafanya.
Kwa taarifa yako anapendwa hadi Zanzibar
 
Moja niyeye Mh Rais kulitamka hilo!
Pili kila unapopita vijiweni na sehemu za kazi hakuna anayemuongela vizuri kitu ambacho kwa mimi najisikia vibaya
hata katika mitandao ingia hata humu JF.
Humu jf ni ukawa tu ndo wanahangaika nae, wa vijiweni ni wala wavivu ndo waropokaji.
 
Najua tulipiga kura na tukamchagua Mh Rais John PombeMagufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa kipindi cha miaka 5.
Lakini kila siku zinavyokwenda hali inazidi kubadilika ukipita vijiweni watu wanaongea na kumlaumu Mh Rais!
Nashindwa kuelewa hali hii inatokana na nini??ukilinganisha hii nchi ilipokuwa imefika hakuna njia iliyokuwa imebaki zaidi ya kumpata mtu ka Mh Rais Magufuli! Ajabu leo watu wanalaumu sana sasa sijui kwanini wanalaumu kwakuwa yote anayafanya ni mema!
Je nikweli mnaolaumu mlikuwa mnafurahi kuona tunaibiwa madini yetu??je mlitaka kuendelea kuwepo wafanyakazi hewa??
Je mlilidhika na utendaji mbavu usiozingatia maadili?
Najua kwa haya nikama kutia mafuta katika moto!
Hila ukweli nikwamba raia wanamchukia Rais wangu nikiangalia sioni sababu! hivyo mengi anayafanya na anaendelea kuyafanya.
48faec3ae09fda0beb02453a0f14208c.jpg
 
1. Magufuli ana kiburi. Rais yeyote anayesema hapangiwi na kachukua fomu yeye mwenyewe anajionyesha ana kiburi. Watanzania wanaojielewa hawapendi kiburi.

Rais anapangiwa.Anapangiwa na wapiga kura wake, anapangiwa na chama chake,anapangiwa na sheria,anapangiwa na misingi ya haki,anapangiwa na jamii ya kimataifa.

Anapangiwa na wafanyakazi wa ikulunini cha kuvaa, nini cha kula, wapi aende, muda gani, aongee na nani,nani asiongee naye etc.

Kama mtu hataki kupangiwa, huyo hafai kuwa rais.

2. Magufuli hana breki ya mdomo.Kaita mawaziri aliowateua yeye mwenyewe wapumbavu. Rais anataiwa awe na kiasi na breki ya mdomo. Maneno mengine abakize kusemezana na wenzake kwenye mikutano ya ndani.

3. Kutoka 2 hapo juu, Magufuli hafikirii anachosema, anajisemea tu. Rais anayewaita mawaziri wake wapumbavu anatuambia yeye nimpumbavu zaidi, maana yeye ndiye aliyewachagua hao maras kuwa wapumbavu.

4. Kwa kuwa ana kiburi, hasikilizi ushauri wa wataalam. Lawrence Mafuru wa Hazina alimshauri vizuri kuhusu ubaya wa kubana sana mzungukowa fedha bila kuangalia economic metrics. Magufuli alimjibu kwa kumuondoa kazini. Sasa hivi tunaona alichotahadharisha Mafuru kinatokea, mzunguko wa fedha umedhoofika.

5. Magufuli haeleweki, siku moja atakwambia yeye ni rais wa wanyonge, siku nyingine serikali yake itavunjia nyumba wanyonge wenye amri ya mahakamakuzuia hilo.

6. Magufuli kaminya uhuru wa habari.

7. Magufuli kaminya uhuru wa kisiasa.

8. Magufuli anapenda majibu rahisi na ya harakakwa maswali magumi.

9. Magufuli hulka yake ya kupenda majibu ya mkato imemfanya aliingize taifa katika madeni kibao.

10. Magufuli ana roho mbaya, hapendi kupandisha watu mishahara, anafukuza watu kazi kama mbwa, haheshimu due process.

Sababu ni nyingi sana, leo niishie hapatu.
Yaani raisi anasimama na kuzungumza sweeping statments za namna ile at haongezi mishahara hadi uzalishaji uongezeke kwa sasaivi upo % ngapi na hadi ukifika % ngapi ndo aongeze mishahara? Mishahara ipo kwa mujibu wa sheria yeye analeta siasa zake? Raisi huyu anaongea yanayomjia palepale bila kuyatafakar athar zake mbeleni! Watu wakiwa wanasubir mishahara mipya mwaka jana ! Alisimama na kusema "mishahara itaongezeka baada ya miezi miwili hivi" ikapita huku tukishudia uhakiki usioisha hadi mwaka umekatika . Akiwa kilimanjaro kwenye 1/5/17 alisema ataongeza mishahara kwa mujibu wa sheria. Miezi mitano baadae ati siongezi hadi uzalishaji ukue? Khaaa? Unawezaje kuwadanganya watu wazima kiasi hiki?
 
In short katika maamuzi yaliyofanywa na serikari karibu yote yalikuwa na lazima isipokuwa labda manunuzi ya ndege that is debatable; lakini mengine yote ata yale yasiyokuwa popular kama media control, kupambana na wakwepa kodi, michezo bandarini, kutoa hela zao bank za biashara etc ni vitu ambavyo vya lazima.

Tatizo kubwa la Magufuli kwa kuanzia ni poor oration skills the man doesnt understand the importance of winning support on everything yeye keshachagua agenda yake ni ufisadi mengine mtajujua wenyewe tena anajibu kwa mipasho serikari ilisema italeta chakula, sijui mimi ndio niliowaletea shida etc with his imply he couldnt care less on some of the social issues.

Pili kuna hili utekelezaji wa maamuzi bila ya kujali siasa pamoja na kwamba mengi aliyofanya zilikuwa hatua muhimu utekelezaji aujali hathari zake kwa wananchi; yes unataka kupambana na mafisadi lakini unarudisha vipi hela kwenye mzunguko kwa njia halali bila ya kuathiri kupotea kwakwe kwenye uchumi vinginevyo watu wataumia. Yes unataka watu walipe kodi lakini unadai vipi bila ya kuhakikisha biashara zinaendelea na ajira zinalindwa, yes unataka magazeti yaache kutunga habari lakini unafanya vipi bila ya kuonekana dictator na mengineo.

Kwa mwanasiasa lazima aelewe impact ya hatua zao na hili ata kwenye nchi ambazo ni 30:30:40 societies ambazo wengi wana high level of perception serikari inatumia muda mwingi sana kuakikisha wanaeleweka na kuangalia risks assessment kwa sababu watu wanapokuwa impacted negatively na maamuzi yako awawezi kukuelewa ata iwe unachotekeleza umetumwa na mungu mwenyewe. Sasa imagine nchi kama Tanzania ambayo probably ni kama 10:90 society ni nguvu gani inahitajika raisi aeleweke.

Tatizo kubwa la sera za Magu ni kwamba hakukuwa na jitihada kubwa sana kufikiria njia gani sahihi kuakikisha agenda inafikiwa with minimal impact. Na hapo ndipo unapoweza pima level of competence ya wataalamu wa serikari, utakuja kugundua Dr Mpango na Mkurugenzi wa TRA wamemtengenezea Magufuli matatizo makubwa kuliko na kumpunguzia popularity kuliko anavyodhani. Worst of mark my words hawa jamaa jinsi walivyo haribu uchumi itakuwa ngumu sana kuurekebisha huko mbeleni kwa hivyo Magufuli asitarajie hali za watu kubadilika anytime soon nor to increase his popularity particularly in cities hao watu wawili anatakiwa awafute kazi they are not fit to implement his agenda smoothly.
 
Kiri kwanza kwamba ulimchagua wewe si sisi....je unaikumbuka hii timu ya Angela, Kigwangwala, Makamba na Mwigulu wakati wa uchaguzi? Wote kwa sasa ni Mawaziri.

Ni kwamba watu wanaonesha hisia zao za kweli na si za kupika. Wengi walijua hana uwezo, sifa wala weledi.

Je na yeye hakuwa miongoni mwa walioifikisha nchi pabaya?

Je una hakika yeye haukuwa miongoni mwa waliotuibia? Je hakuwa sehemu ya waliowezesha uwepo wa wafanay kazi hewa?

Je na yeye hakuwa mojawapo wa hao watendaji wabovu ambao hawakuzingatia maadili?

Yaani huoni unafiki wake, ubabe wake, utawala wa kiimla usiozingatia sheria, udikteta uchwara, uanzishaji wa kitengo cha wasiojulikana, utekaji, uteswaji na upoteaji wa wananchi...je, wewe unapenda kuona utawala wa namna hiyo ukiendelea? Huwezi kupanda mbaazi ukavuna nyanya.
Ubarikiwe sana .
 
Back
Top Bottom