Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,246
- 34,196
Najua tulipiga kura na tukamchagua Mh Rais John PombeMagufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa kipindi cha miaka 5.
Lakini kila siku zinavyokwenda hali inazidi kubadilika ukipita vijiweni watu wanaongea na kumlaumu Mh Rais!
Nashindwa kuelewa hali hii inatokana na nini??ukilinganisha hii nchi ilipokuwa imefika hakuna njia iliyokuwa imebaki zaidi ya kumpata mtu ka Mh Rais Magufuli! Ajabu leo watu wanalaumu sana sasa sijui kwanini wanalaumu kwakuwa yote anayafanya ni mema!
Je nikweli mnaolaumu mlikuwa mnafurahi kuona tunaibiwa madini yetu??je mlitaka kuendelea kuwepo wafanyakazi hewa??
Je mlilidhika na utendaji mbavu usiozingatia maadili?
Najua kwa haya nikama kutia mafuta katika moto!
Hila ukweli nikwamba raia wanamchukia Rais wangu nikiangalia sioni sababu! hivyo mengi anayafanya na anaendelea kuyafanya.