Kwanini Watanzania wengi hawana furaha?

Kwanini Watanzania wengi hawana furaha?

Sababu kubwa ya kukosa raha kwa Watanganyika ni kutokana na utawala mbovu wa CCM. Hik chama ni mama wa machukizo na mouvu yote yaliyopo hapa nchimi.
 
View attachment 3560366

Watu hawawezi kuwa na furaha ilhali kuna hili wimbi ovu la kisiasa, ukandamizaji na hali duni ya kiuchumi.

Haki pia kukosekana matumaini ya kuwepo sera ya Maendeleo ya Watu, kushindwa kuchagua viongozi wanaowataka, yaani mambo mengi hasi nchini Tanzania yametamalaki chini ya utawala haramu wa chana dola kongwe

Mahakamq ya ICC the Hague ya Uholanzi ikija kuwabeba mzobemzobe Samia na genge la wahalifu wenzie, nchi hii italipuka kwa furaha kuu
 
Back
Top Bottom