Uchaguzi 2020 Kwanini Watanzania wengi hawana furaha? Hongera CHADEMA kwa kuligundua hilo

Unamaanisha huijui bima ya CHF? hakuna jipya hapo zaidi ya kutudanganya tu, hayo yote atayafanya vipi wakati anaahidi kufuta kodi? ATATUUZA.
 
Bima ya afya, kulipa malimbikizo ya madeni nasubiri hadi mwsho nione nani Starling.
 
Jpm miaka 5 iliyopita tuliamini ataleta furaha na haki kwa watu, mbaya zaidi amezidi kuligawa taifa letu kwa misingi ya kipato, pia kisiasa.Badala ya kuliunganisha taifa kalitenganisha zaidi..
MATAGA, LB7, milembe campus, psychiatry, wanufaika wa mfumo ndo wapiga kura wa jiwe bila kusahau wananzengo wa Gambosi na Burigi.
 
Back
Top Bottom