Kwa sababu moja tu: Ujinga.
Sasa hapa wale 'wajinga' wasiojua maana ya 'ujinga' wanaweza wakakasirika na kudhani labda nimewatukana kwa kuwaita 'wajinga'.
Adui 'ujinga' bado hatujamshinda kabisa.
Kati ya watu natamani kuwaona uso kwa uso nakubadilishana mawili matatu ana kwa ana,mmojawao ni we' Nifah.[I'm sorry nimeshindwa jizuia]Mimi nilisubiri kwa hamu tuingie barabarani watu kimyaaaa,madai yao wamemuachia Mungu!
Inakera sana.
Hata hii public holiday ya kesho namwachia tu Mungu
Kati ya watu natamani kuwaona uso kwa uso nakubadilishana mawili matatu ana kwa ana,mmojawao ni we' Nifah.[I'm sorry nimeshindwa jizuia]
Vp nifah! Pole na maumivu najua tulikuwa ktk boti moja! Lkn kwa upande wangu wilaya yangu ya kino Diwani katoka ukawa cdm, mbunge ndy vile....kuna wakati wananchi mnaweza anzisha figisufigisu na ikazaa matunda,etc biafra, kuhusu kuandamana hilo liko kwa viongozi wakuu walianzishe watu watamalizia
Sasa hapa Dar wamejazana wazaramo wa CCM kila kona hata hizo guts za kuandamana tulizikosa kabisa maana ushirikiano ungekuwa mdogo. Laiti ingekuwa Dar wanaishi watu wa Arusha na Mbeya lazima haki ingeshapatikana.Mimi nilisubiri kwa hamu tuingie barabarani watu kimyaaaa,madai yao wamemuachia Mungu!
Inakera sana.
Mungu hasaidii watu na sio kazi yake, mausha yanaenda yenyewe bila msaada wake, mungu hana msaada wowote kwa binadamu.Mungu mwenyewe hana time na 'wajinga'.
Kwasababu hamuwezi kujisaidia wenyewe.
Mungu hasaidii watu na sio kazi yake, mausha yanaenda yenyewe bila msaada wake, mungu hana msaada wowote kwa binadamu.
Watanzania ni wavivu na wajinga, kila kitu wanamuachia mungu, wanaibiwa kura wanamuachia mungu, wanaonewa wanamuachia mungu, hii nchi sijui hata wanachi wake wakoje, najuta kuzaliwa tanzania.
take a breath!! hawa watu walijiandaa kumwaga damu suprisely wamekuta respond zero hawawezi ku react you can cheat all people but not all the time you can cheat people ni muda tu. the problem siasa watu mmeianza hivi karibuni lakini nikikwambia we shall reach a time CCM itapata kura za Hashimu Rungwe hutaamini ila Trend haidanganyiMimi nilisubiri kwa hamu tuingie barabarani watu kimyaaaa,madai yao wamemuachia Mungu!
Inakera sana.
take a breath!! hawa watu walijiandaa kumwaga damu suprisely wamekuta respond zero hawawezi ku react you can cheat all people but not all the time you can cheat people ni muda tu. the problem siasa watu mmeianza hivi karibuni lakini nikikwambia we shall reach a time CCM itapata kura za Hashimu Rungwe hutaamini ila Trend haidanganyi
mkaribishe na ndugu yako mwasu