Kwanini Watanzania mnacheka busara za mama 😅

Kwanini Watanzania mnacheka busara za mama 😅

nikikumbuka mama alivyochukua nafasi ya urais kwa mara ya kwanza kabisa aisehh alipewa majina mazuri ya kuvutia nani kama mama kila kona ya nchi
 
heshima yake ilipotea lini hasa?
Mwaka jana especially, heshima yake ilipotea kabisa
Hata akitoa hotuba, watu walikuwa wanazitengenezea beat na kuzipuuza.
Labda kama umeisahau hii challenge jinsi ilivyotrend Africa nzima
 
Mwaka jana especially, heshima yake ilipotea kabisa
Hata akitoa hotuba, watu walikuwa wanazitengenezea beat na kuzipuuza.
Labda kama umeisahau hii challenge jinsi ilivyotrend Africa nzima
View attachment 3560961
kama heshima yake ilipotea mwaka jana , basi hata wanaomcheka sasahivi inabidi tuwacheke pia
 
kama heshima yake ilipotea mwaka jana , basi hata wanaomcheka sasahivi inabidi tuwacheke pia
Watu wengi wameanza kumshushia heshima Samia mwaka jana baada ya kuzijua rangi zake halisi
Maana yake tangu mwaka jana hadi leo watu wanaomdharau Samia wanazidi kuongezeka. Hata akiongea maneno ya busara watu wanamuona mnafiki tu

Mpaka watu wanamtengenezea video za hivi. Huoni tu kama heshima yake imeshuka kama sio kupotea mazima?
 
Dhambi kubwa kuliko zote ni kuua. Kosa kubwa kuliko yote ni mauaji.

Muuaji hastahili kusikilizwa kwa lolote. Huyo ni muovu wa kiwango cha juu kabisa. Haistahili hata kumsogelea muuaji.
 
Kuna wachekeshaji humu Bongo, wakichekesha watu wakicheka wanadhani watu wanacheka alichosema, Kumbe n watu wanamcheka mchekeshaji
 
Back
Top Bottom