Atajua mwenyewe bwasheeHuyu mama itachukua muda sana kurudisha heshima yake. Watu wanamdharau
Sio kweli kwa unayo yasemaWagalatia hao wanamchukia Samia
Lete ukweli! Uwe na advocate mzuri piaSio kweli kwa unayo yasema
Aache unafiki kwanza. Muuaji hawezi kuwa na memaKwa nini sikuhizi kila post ambayo inaonesha busara za Samia zinapata reaction nyingi za kucheka. Ni kama hamchukulii serious anachokisema. Sijapenda 😂😂
View attachment 3560953
Mama!? Alikuzaa!?Kwa nini sikuhizi kila post ambayo inaonesha busara za Samia zinapata reaction nyingi za kucheka. Ni kama hamchukulii serious anachokisema. Sijapenda 😂😂
View attachment 3560953
Huyu mama itachukua muda sana kurudisha heshima yake. Watu wanamdharau
Hawezi kuirudishaHuyu mama itachukua muda sana kurudisha heshima yake. Watu wanamdharau