Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Katika maisha yangu sijawahi kuona kabila ambalo lina watu professional na watafutaji kama wachagga wakifuatiwa na wapare nimezunguka saaaaana nchi hiii kaskazini kusini mashariki na magharibi kanda za kigoma, sijaona kabila lina watu wana akili ya maisha kama chagga People
Nimekaa uchaggan more than 7 years nilipenda utaratibu wao wa kukumbuka nyumbani piaa utaratibu wa kujenga nyumbani hii imefanya hata Moshi vijijini kuwe kuzuri kuliko singida mjini
Utaratibu wa kulazimishana kujenga nyumbani unawafanya wawe washindani na uchu wa maendeleo piaa kulinda hadhi na mazingira ya nyumbani unaweza kwenda kibosho ndani ndani huko ukakuta mjengo mkali kuliko hata uliopo pale singida mjin
Utaratibu wa kurudi Christmas unawasaidia kukumbuka nyumbani piaa kuwasaidia wale waliokwenda mjini wakafeli maisha umoja ni nguvu
Ila ukija unyaturuni sasa kila mtu na maisha yake mwenye hela akifanikiwa Dar kwao hajengi ndio maana mtu anakufa watu wanaosindikiza mwili wanenda kukuta marehemu alikua na maisha mazuri mjin ila hakujenga hata kwao
Kama nchi nzima tungekua na spirity ya utafutaji ya wachagga na kuamua kuspend pesa kibahili kama wapare sahivi tungekua uchumi wa kati wa juu sio wa chini tena
Naomba kuwasilisha mji mwingine mzuri kuishi ni Iringa Town mji mtaaamu mnoooo climatically na hakuna kujazana usafi wa kuzidi AHSANTE