Kwanini Watanzania Mikoa na Makabila mengine wasiige utaratibu wa Wachagga

Status
Not open for further replies.

Emmanuel180

Senior Member
Dec 17, 2019
136
250
Katika maisha yangu sijawahi kuona kabila ambalo lina watu professional na watafutaji kama wachagga wakifuatiwa na wapare nimezunguka saaaaana nchi hiii kaskazini kusini mashariki na magharibi kanda za kigoma, sijaona kabila lina watu wana akili ya maisha kama chagga People

Nimekaa uchaggan more than 7 years nilipenda utaratibu wao wa kukumbuka nyumbani piaa utaratibu wa kujenga nyumbani hii imefanya hata Moshi vijijini kuwe kuzuri kuliko singida mjini

Utaratibu wa kulazimishana kujenga nyumbani unawafanya wawe washindani na uchu wa maendeleo piaa kulinda hadhi na mazingira ya nyumbani unaweza kwenda kibosho ndani ndani huko ukakuta mjengo mkali kuliko hata uliopo pale singida mjin

Utaratibu wa kurudi Christmas unawasaidia kukumbuka nyumbani piaa kuwasaidia wale waliokwenda mjini wakafeli maisha umoja ni nguvu

Ila ukija unyaturuni sasa kila mtu na maisha yake mwenye hela akifanikiwa Dar kwao hajengi ndio maana mtu anakufa watu wanaosindikiza mwili wanenda kukuta marehemu alikua na maisha mazuri mjin ila hakujenga hata kwao

Kama nchi nzima tungekua na spirity ya utafutaji ya wachagga na kuamua kuspend pesa kibahili kama wapare sahivi tungekua uchumi wa kati wa juu sio wa chini tena

Naomba kuwasilisha mji mwingine mzuri kuishi ni Iringa Town mji mtaaamu mnoooo climatically na hakuna kujazana usafi wa kuzidi AHSANTE
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,981
2,000

Wewe huwajui wachagga hasa. Investors kwao ni mabinti zao hasa walioolewa na wasio wachagga. Tuna uzoefu wa miaka zaidi ya umri wako
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,197
2,000
Anyway, mimi siyo msukuma. Ila unaposema ushiriakiano hivi unawajua wasukuma wewe ?

Wasukuma ni moja ya makabila yanayoshiriana sana hasa kwenye kazi, siyo kwenye kuiba.

Lakini pia ni wengi, kwahiyo usutegemee jamii yenye watu wengi hivyo wote wakawa wamefanikiwa.
Labda wa sasa hivi lakini bado wapo nyuma sana kimaendeleo na kiuwekezaji
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,957
2,000
Labda wa sasa hivi lakini bado wapo nyuma sana kimaendeleo na kiuwekezaji
Wasukuma ni wengi sana. Na kila mmoja anajishughulisha anavyoweza. Nenda Ifakara huko, wameteka mji wote wanalima mpunga.

Kuna wafugaji ambao kutokana na wingi wa ng'ombe wao wamekuwa wanahama kutafuta mapori.

Kila mtu hawezi kuzurula na kuwa muuza duka.

Kila jamii ina taratibu zao.
 
chokodari

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
727
500
Huu mtindo wa kurudi christmass hata wanyakyusa walikuwa nao na kuna makabila mengine baadhi nilisikiaga wanasema, ila utandawazi umewaaribu watu, ila baada ya wachaga kuonekana kupendwa sana december basi makabila mengine nayo yameanza kurudi december for christmass na inapendeza sanaa watu hawajui tu na ndio maendeleo mikoani
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,197
2,000
Wasukuma ni wengi sana. Na kila mmoja anajishughulisha anavyoweza. Nenda Ifakara huko, wameteka mji wote wanalima mpunga.

Kuna wafugaji ambao kutokana na wingi wa ng'ombe wao wamekuwa wanahama kutafuta mapori.

Kila mtu hawezi kuzurula na kuwa muuza duka.

Kila jamii ina taratibu zao.
Sasa hao wenye kulima mpunga baada ya hapo mapato yao wana jengea nyumba za kudumu na kununua trekta
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom