Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Wote hao ni marafiki wa kuribu wa Lowassa sio kwamba wanapigania mabadiliko ya kweli,wamekimbiria huko kujaribu bahati yao - wanacho tafuta ni vyeo just incase, mengine yote ni maigizo tu. Watanzania tumesali sana Mungu hawezi kutupatia kiongozi wa type ya YELSTIN.Hayati Kolimba akiwa katibu mkuu wao alisema "...ccm imepoteza dira na mwelekeo..." bado watanzania hawakumuelewa... Mzee Moyo nae akasema "hii si ccm niliyoijua..." bado hatuelewi... mzee Kingunge amerudia tena haitoshi balozi Mwapachu kauli hizohizo... bado tumejing'ang'aniza humo!!! Wanaolijua gari wameshuka wakijua halina breki na mbele kuna korongo sisi wapandia njiani na wadandiaji tunapanda tukishangilia KWA SAUTI KUBWA MBELE KWA MBELE!!!!
HIVI HUKO MBELE MMESHAJUA KUNA NINI?
Kwa nini mnasahau kwamba Mzalendo Magufuli kateuliwa na chama chake kwa njia ya Kimungu Mungu tu,tukubaliane kwamba alifika hatua ya kupependezwa kimiujiza ujiza - hiyo ni ishara tosha kwamba huyo ndiye Chaguo la Mungu.