Kwanini wasichana wa Kenya wanawapenda sana Watanzania?



Hahahaha, upepo wa kisulisuli umeshafika Kenya, wanajileta kwa kasi ya ajabu.

Mombasa vs Dar es Sluum inakutoa jasho ikabidi ujaribu kuhepa kwa kufungua nyuzi nyingi eti "ku-neutralise" lakini wapi? Bado tutachangia Hadi humu . Umeona aje dual carriageway za Mombasa kushinda za Dar? 😂
Our 2nd City is at par with your only City.
 
69483544_2400924056786093_306299303565983744_n.jpg
 
Pengine wanaume wa kenya(mashemeji) hawajiwezi vitandani.
Wanawake wanawapenda wanaume wajinga na walio na Mali. A Watanzania wanatosha kwa hio description.A fool and His money...malizia hiyo Kama hukuenda St.Kayumba 😉
 
Wanawake wanawapenda wanaume wajinga na walio na Mali. A Watanzania wanatosha kwa hio description.A fool and His money...malizia hiyo Kama hukuenda St.Kayumba

A fool with Money? Mzee kuwa serious,
You and I know Pesa ndio kila kitu,
Huwezi kujisifu una akili kama huna hela, Yaani Kama akili zako hazikusaidii kupata hela to me you are just a fool.
 
Back
Top Bottom