Kwanini wasanii wa kike karibia wote wana shepu?

maimatha

Senior Member
Mar 2, 2013
129
161
Mi nauliza swali jamani, hivi hawa wasanii wetu wa kike ndio kusema Mungu kawapendelea au? Maana karibia wote wana shepu hawana matumbo mpaka nashangaa au kuna vitu wanatumia hawa?.
 
Huyu alisingizia kabakwa akapata mimba kumbe ni kitambi tu
14624732_953879231413434_2202695547079360512_n.jpg

For more clarification hata kapicha sio mbaya
 
Back
Top Bottom