Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

Hata wa bongo movie nao wengi wafupi wamejaa mhuuu
 
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.

kabisa mkuu tumeishiwa hoja? au ndotunataka tushushe hadhi ya jf kwa watu watuone tunajadili upumbavu?
 
Wewe huwa unalamizisha kuwa GT while in reality you are not, nimesema hao ni baadhi tu. Unafaham maana ya neno baadhi??? B.W.E.G.E wewe

hahahahaha ..................
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.
 
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.

Ndio na yeye atakuwa ni mmoja wa wanaume warefu bila shaka, wafikiri atawaza Ebola saa ngapi?!
 
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.

Mkuu hilo suala ni la jukwaa gani?
 
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.

Mkuu umeongea Kitu Kizuri lakin kiko nje Ya eneo husika
huyu ndugu anajulikana kama MCHUNGUZI HURU......yaani hafungwi na chunguzi zozote....pia mada yake imegota kwenye jukwaa husika
....kwahiyo mi naona jamaa hajavunja rules zozote zile
hongera sana MCHUNGUZI HURU
 
Last edited by a moderator:
Nirudi kwenye mada
hivi kwani ufupi unakuwaje?
kila mtu anahaki ya kujiita mrefu/mfupi..maana kila mtu yuko aliyemzidi kimo
hivyo mi nazani , tusiwajaj vijana wetu ya kuwa wafupi kwani hata wewe MCHUNGUZI HURU .....unaweza kujiona mrefu kwao, lakin kwangu ukaonekana mfupi...nami pia vivyo hivyo kwa wengine!!
 
Last edited by a moderator:
Na mtu akiwa mfupi m.bo.o nayo inakuwa fupi kwa wanaume. Msichana akiwa mfupi anakuwa na k.u.ma kubwa. Ndo mana LULU(mbilikimo) anapenda wanaume warefu(cpt komba,) mana wana dudu kubwa. Na wanawake wafupi hawapendi wanaume wafupi mana wana mjaba mdogo.
 
Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi wanapenda sana kujionyesha kwakuwa wanahisi wanadharaulika?

Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
3. Linnah
4. Sheta
5. Rich Mavoko
6. Nikki wa Pili
7. T.I.D
8. Ommy Dimpoz
9. Dully Sykes
10. Ally Kiba

KWANINI WASANII WENGI WA BONGO WAFUPI?

DR. MCHUNGUZI HURU (PhD)

halafu wanaume wafupi wanatamanisha kufila
 
Last edited by a moderator:
Lady Jay Dee '4'6, Diamond ni futi 4'10 bila viatu na ni Muha, Joti futi 2'10...wera wera!
 
B.W.E.G.E ni yule anaye fanya utafiti bila data kamili.. ungetoa idadi kamili ya wasanii wote na ukaweka idadi ya hao wafupi. Nenda BASATA

Ok Bye

lkn sio kila kitu lazima kiwe kimefanyika kwa utaalamu. nadhani amejaribu kuangalia kwa ujumla tu na kutoa mifano michache. ametoa hypothesis tu... pamoja ugeni wangu nadhan jf sio tu kwa ajili ya kutoa mada zenye uhalali mkubwa, ila ni kama kijiwe cha online ambacho chochote kinaweza kufanyiwa discussion.
 
Niwafupi kwa sababu wazaz wao wana genes ambazo zipo hivi(tt&tt),(tt&Tt)au (Tt&Tt) ikiwa tt=mfupi, Tt=mrefu mwenye element za ufupi
source: genetics studies
 
Chege ....Mr Blue .....Inspector Harun ......Saigon ......ally choki ......list ni ndefu sana lakini jambo moja la kufahamu hiki kizazi chetu hakina tena mapande ya watu kama enzi hizo ndio maana hata kwenye soka tuna tatizo hili hili ........
 
Back
Top Bottom