Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

MCHUNGUZI HURU kuna kitu unakosa na kitu unajishaulisha,hebu nikuulize

wewe huo urefu ulijipa ulijichagulia uwe mrefu?

hivi hujui kuwa uwezekano wa hata wewe kuwa mfupi ulikuwepo ikiwa aliyekutokeza angetaka iwe hivyo na hata akitaka kwa wakati huu unaweza kuwa mfupi?

kwa nini unawadharau watu wafupi?

nini kinakufanya wewe uwe wa pekee na hao wafupi uwaone wasio na maana?

au unaweza kunipa utofauti au umaana au upekee ulionao tofatui na hao wafupi?

urefu wako umekuongezea siku za kuishi?ukoo wenu wote ni warefu?

mkuu hii ni dunia tu na kuna mambo yako nje ya uwezo wa kila mmoja wetu,kuna mambo ambayo watu hawapendi kuwa nayo ila kwa kuwa hawana mamlaka juu ya hayo wanakaa tu kimya wakiugulia kivyao,kwa hiyo kama umejaaliwa uzuri,urefu wa haja mshukuru muumba wako na uwasikitikie hao ambao hawakujaaliwa na sio kuanza kuwanyanyapaa na kuwachambuachambua,hata wao hawakupenda kuwa hivyo walivyo wamejikuta tu.

mwisho mkuu dunia ni tambala bovu na ni uwanja wa fujo pia hayupo komandoo wa dunia unamjua wastara?zamani alikuwaje na sasa yukoje,hii ni dunia tu mkuu leo mrefu kesho mfupi kama njiti ya kiberiti,dunia ina mengi aksidenti magonjwa na makorokoro kibao ambayo si mimi wala nani aweza kuyazuia yanatokea tu na kwa wakati wowote mkuu,take care.
 
Last edited by a moderator:

pole mbilikimo, sio wewe peke yako hata lulu ni mfupi
 
Last edited by a moderator:
Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi wanapenda sana kujionyesha kwakuwa wanahisi wanadharaulika?

Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
3. Linnah
4. Sheta
5. Rich Mavoko
6. Nikki wa Pili
7. T.I.D
8. Ommy Dimpoz
9. Dully Sykes
10. Ally Kiba

KWANINI WASANII WENGI WA BONGO WAFUPI?

DR. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Hahahahaha daa jf yatosha .
 
Last edited by a moderator:
Na akitokea Mrefu hatapendeza hata kidogo Jukwaani atayarudi vipi mauno ? hao warefu waende sekta nyingine tu , Umodel, Ulinzi , Basketball na Mengineyo
 
Hata watu wenye akili sana madarasani asilimia kubwa ni wafupi. Warefu huwa ni mabogus kabisa.

Chunguza toka ulipokuwa shule utagundua hilo.
 
we mbilikimo acha uongo, mi ni mrefu na nimekuwa nikipata div 1, mpaka 1st class chuo. Watu wafupi ni mabogas na vilaza, wamekimbia shule wameenda ktk mziki na move. Ona john mnyika mrefu, msigwa mref, j.makamba mrefu. Then said fela mbilikimo, ruge mbilikimo, babra mbilikimo, joti mbilikimo
 
sinta pia mbilikimo. Jakaya kikwete rais ni mref
 
Mzee majuto hakui, ni mbilikimo ndo mana anauchizi chizi flani na uwehu
 
Mtikila nae ni mbilikimo ndo mana anapenda kesi na ugomvi ili awaondolee watu tension ya kuncentrate kwenye ufupi wake
 
Kala pina nae ni mbilikimo ndo mana anavutaga bangi na kujidai mbabe ili watu wamuogope. Amekuwa akitetea watu wafupi. Tena akisikia hii mada atakuwa kila mtu mref atakaekutana nae kipondo
 
Na mtu akiwa mfupi m.bo.o nayo inakuwa fupi kwa wanaume. Msichana akiwa mfupi anakuwa na k.u.ma kubwa. Ndo mana LULU(mbilikimo) anapenda wanaume warefu(cpt komba,) mana wana dudu kubwa. Na wanawake wafupi hawapendi wanaume wafupi mana wana mjaba mdogo.

Mbona Wema anampenda Diamond ambaye ni futi 4'10 hivi ama at best 5'0 with shoes.
 
Kuna jamaa huku kitaani anasema alimuona ommy dimpoz akiwa amevaa skin jeans ub..oo ukasimama....Dah usiombe watu wakuchoke.

Nahisi huyo jamaa atakuwa mganga wa kienyeji....iweje awe anatamani kufila mbilikimo tu? Mpe contacts za Joti na Steve Nyerere.
 
Back
Top Bottom