Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi wanapenda sana kujionyesha kwakuwa wanahisi wanadharaulika?

Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
3. Linnah
4. Sheta
5. Rich Mavoko
6. Nikki wa Pili
7. T.I.D
8. Ommy Dimpoz
9. Dully Sykes
10. Ally Kiba

KWANINI WASANII WENGI WA BONGO WAFUPI?

DR. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa huku kitaani anasema alimuona ommy dimpoz akiwa amevaa skin jeans ub..oo ukasimama....Dah usiombe watu wakuchoke.
 
Wewe huwa unalamizisha kuwa GT while in reality you are not, nimesema hao ni baadhi tu. Unafaham maana ya neno baadhi??? B.W.E.G.E wewe

B.W.E.G.E ni yule anaye fanya utafiti bila data kamili.. ungetoa idadi kamili ya wasanii wote na ukaweka idadi ya hao wafupi. Nenda BASATA

Ok Bye
 
Tanzania haitakaa iendelee maana chunguzi zinazofanyika ni za kibwege sana.
Unasikia kuna hatihati ya Ebola wewe unachunguza upuuzi.

Teh teh ni juhudi zake kwenye sanaa lakini usimbeze wengine watafanya hizo tafiti za kitabibu zaidi.
 
Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi wanapenda sana kujionyesha kwakuwa wanahisi wanadharaulika?

Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
3. Linnah
4. Sheta
5. Rich Mavoko
6. Nikki wa Pili
7. T.I.D
8. Ommy Dimpoz
9. Dully Sykes
10. Ally Kiba

KWANINI WASANII WENGI WA BONGO WAFUPI?

DR. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Amini, godwin gondwe, flora mbasha, Mamaake hasheem thabit,wewe mwenyewe etc
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom