Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,102
- 7,188
Pole sana yaani dah,
Ila chukua samli original ile yenyewe ipike jikoni ichemke haswaaaaaa then chukua kile kidude kama kile cha wanachotangazia konii (wale Wa kigoma wanaita chakuinika)
Iache samli ipoe lakini isipoe sanaaa ipoe ubaki ule umoto wa kuunguza basi kubabua ngozi, inama then weka mafuta ya samli kwenye kile kidude jimiminie huko nyuma halafu chukua pamba ziba, kaa hivyo hivyo mpaka ule umoto upoe then binuka utaona mafuta yanamwagika pamoja na wadudu, Fanya hivyo Mara kwa Mara utapona