wengine wanaoana baada ya week tu ya uchumba....hata hujalala nae mara 10Hivi hakunaga vidalili vya awali unavyoweza ukavigundua mwenyewe kwahuyo wakumuita mke mtarajiwa sijui Mke wa ndoa kwamba anatabia chafu Mpaka umeoa na kuweka ndani kabisa ndo unakuja kumgundua...hakuna huto tudalili ee
Duh hatari hiyowengine wanaoana baada ya week tu ya uchumba....hata hujalala nae mara 10
ahahahahahaha ila kama mi namkuta hvo namuliza kama anapenda tuendelee....ila kama atakua ameacha pia ntamfichia tu siri yakeDuh hatari hiyo
we utakuwa humpendi Mke wako kabisa kabisa utamkubalia ujingaahahahahahaha ila kama mi namkuta hvo namuliza kama anapenda tuendelee....ila kama atakua ameacha pia ntamfichia tu siri yake
sasa kama anapenda nkatae afu unajua akikosa atafanyaje?unajua kiu ya bnadam ilivo kali?we utakuwa humpendi Mke wako kabisa kabisa utamkubalia ujinga
What if na wewe Mume ni mtumiaji mzuri wa huo mtandao pendwa??
usiweze kumuacha kivipi amekuwa mama yako mzazi huyo! kumpenda mtu ni mzoea tu ukimuacha within a week unasahauKama unampenda sana na hauwezi kumuacha, utatumia njia gani kutatua hili jambo?
Nyuma peke yake itapendeza zaidiMbele Na nyuma patapendeza
perfect huez kumkimbia mtu ambaye umemuoa mwenyewe...afu huo sio ugonjwa kusema atakufa anaweza kuacha au kutokuacha ....lakin inakua siri yenuUkigundua hivyo fanya yafuatayo:
1-Ibaki kuwa siri ya chumbani
2-Saidianeni kama ameshazoea/ ndio njia ya kupata ladha ya penzi basi na wewe jifunze
3-Mkikubaliana tumia kama sunah umfurahishe mwezio
Angalizo: Do it on your own risk