Mmmh!!mimi niliwahi kusikia mbwa shoga wapo,sasa sijui kama kuna ukweli au laa
Mkuu hujawachunguza vizuri,wanyama wanafanya sana tu ushoga ningeweza kukupostia hapa video zinazoonyesha ushoga wa wanyama lakini hii ni public forum kama ukitaka waombe mods waihamishie mada yako jukwaa la wakubwa ili nikuunganishie video za wanyama wakilana tiGo dume kwa dume kisha ubadili hiyo heading yako hapo juu.
hawafanyi hivo kwa sababu hawana akili kama tulivo bin adam.