FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,117
- 13,363
hehehehehehe hukuwapiga hata picha ututumie wazee wa bar kutukumbusha majukumu yetu mengine.. Bila shaka huyo baba kapata darasa humu humu tena kwenye ile mada yetu ile..Haha afu huwezi amini nilikukumbuka ghafla. Nimepita sehemu nikakuta mbaba anamfundisha binti yake baiskeli, kanachekaaaa hako. Aisee nimesmile hadi basi, nikasema angekuwa FisadiKuu muda huu anawahi bar kwanza kusalimia washkaji, akirudi tena ni beeer