Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi.
“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” pia humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
Hitaji kubwa la wanaume wengi ni mamlaka. Wanaume wanapoingia kwenye uhusiano na mwanamke wanakuwa na shauku ya kuwa na sauti inayosikika bayana kukidhi dhana ya kichwa cha familia. Ili sauti hii iweze kusikika bara bara uwezo wa kifedha, kielimu, kimadaraka na hata umaarufu unakuwa na nafasi yake.
Kwa maana hiyo inapotokea mwanamke ameshindwa kuwa chini ya mamlaka yake, mwanaume huanza kujisikia hayuko salama.
Chris Mzumbwe
Shida wana DharauHawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi.
“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” pia humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
Hitaji kubwa la wanaume wengi ni mamlaka. Wanaume wanapoingia kwenye uhusiano na mwanamke wanakuwa na shauku ya kuwa na sauti inayosikika bayana kukidhi dhana ya kichwa cha familia. Ili sauti hii iweze kusikika bara bara uwezo wa kifedha, kielimu, kimadaraka na hata umaarufu unakuwa na nafasi yake.
Kwa maana hiyo inapotokea mwanamke ameshindwa kuwa chini ya mamlaka yake, mwanaume huanza kujisikia hayuko salama.
Chris Mzumbwe
sio kwamba wanaogopa ila ni wasiwasi tuKwanini? Mbona nna mafanikio mengi afu makubwa makubwa
Hongera my dada kwa kuwa miongoni mwa wafanikiwaMsituogope jamani hatuna shida wala......
Ahsante sana kaka 😹Hongera my dada kwa kuwa miongoni mwa wafanikiwa
Hakuna mwanaume anayemwogopa mwanamke dunia hii. Wanaume huwa tunajiongeza tuHawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi.
“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” pia humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
Hitaji kubwa la wanaume wengi ni mamlaka. Wanaume wanapoingia kwenye uhusiano na mwanamke wanakuwa na shauku ya kuwa na sauti inayosikika bayana kukidhi dhana ya kichwa cha familia. Ili sauti hii iweze kusikika bara bara uwezo wa kifedha, kielimu, kimadaraka na hata umaarufu unakuwa na nafasi yake.
Kwa maana hiyo inapotokea mwanamke ameshindwa kuwa chini ya mamlaka yake, mwanaume huanza kujisikia hayuko salama.
Chris Mzumbwe
Njoo unipige mistari kama unajiamini mkuuMi siwaogopi mlete yoyote hapa nampiga mistari..😎
Nikupige hapahapa au nije pm...??Njoo unipige mistari kama unajiamini mkuu
Njoo pm bwana sasa hapo utamwaga Michele kwa kuku wengi halafu Mchele wenyewe kiganja kimojaNikupige hapahapa au nije pm...??
Mh! we dada mbona korofi namna hii..?🤣Njoo pm bwana sasa hapo utamwaga Michele kwa kuku wengi halafu Mchele wenyewe kiganja kimoja
SafiWanaogopwa na wanaume dhaifu.
Wenye nguvu na wanaojitambua kuwa thamani yao ni zaidi ya kuwa na Pesa wanawakabili na kuwamudu vizuri sana.
Let’s reimagine masculinity 💪💪
Avoid inferiority complex problems.
Ni wewe huyu huyu uliyechemks kwa Avelina wa chumvini au ni mwingine?Mi siwaogopi mlete yoyote hapa nampiga mistari..😎
wewe ni nyumbu tu!Ni wewe huyu huyu uliyechemks kwa Avelina wa chumvini au ni mwingine?
Bariadi moja huwa mnapenda kujimwambafu sana ila wengi wenu ni wakuja tu.
Nyumbu mwenyewe.wewe ni nyumbu tu!
Any proof? Au insecurity tu kijana?Shida wana Dharau
Mkuu ushawahi kupigwa ban..?? sasa jitafutie ban ya lazimaNyumbu mwenyewe.
Wafunguliee pm wahuni hukoo 😅😅😅Hata mimi mnaniogopa pia humu 🤣🤣🤣😜
Karibuni kijijini maeneo mengi ya kuishi nasi tuwe majirani
🤣🤣🤣
Umeongea vyema.Kuna wanaowapgopa kwa sbb ya imani potofu kuwa mwanamke mwenye mali si mtiifu.
Ila kuna ambao hawawaogopi ila hawawataki tu.Kuna wanaume mwanamke akishamzidi tu tayari huyo hana vigezo vya kuwa mkewe kwa sbb mwanaume ana ego.Mwanaume anayejiamin mwenye kujivunia uanaume wake awe tajiri au masikini anaona fahari kuwa provider wa mke na wanawe.
Hakuna mwanaume anayejielewa ataishi kwa furaha kwa pesa ya mkewe.Na mpaka mwaume wa hivyo aoe mke alomzidi kipato/elimu ujue mwanamke katumia nguvu kubwa kumuaminisha kuwa pamoja na hela zake atamtii na kumuheshimu.