Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

Haaaa haaaaa hiyo tena Kali Sasa ulitembea Na wote Ili mmoja amkomoe mwenzake?? Na mbona ulikubari.Usikatae
 
Inasikitisha sana.Unaongea Na mwenzio Sasa unampa Na siri zako zote( Baada ya muda anageuka anakuchoma) Lakini kasahau kama Na yeye alikusimulia ya kwake yote.Aisee! Mbona wenzetu wa kiume wengi wetu wana vifua?
 
Ni kweli wanawake wengi hawapendani. Ni asili yao ukitakakuona njoo na mwanamke umtambulishe nyumbani kwa ndugu zako wa kike kuwa huyu ndiyo mke wangu kipenzi ndiyo utawajua vizur hawa viumbe
Haaa haaa Hata mawifi ndo balaaa( ukiwepo sifa atakazomwagiwa Sasa.Mkiondoka(' kaka bwana Wanawake wote kamuona yule vimguu kama spoku za baiskeli
 
Safi sana Jovitha, Kweli wapo baadhi ya Wanawake Mpaka raha japo Ni wachache sana.Unapenda majungu fitina Ni mwiko.Tuige jamani
 
Nawapenda.Ila nimeongea hivyo kwa idadi kuwa kubwa.Chukulia.Mfano wake Wenza ndani ya ndoa Pengine wanakaa nyumba 1,mmoja akiwa a napika chakula Huyu mwingine anaweza akamvizia Na kutoa chunvi kifuko kizima Lengo Huyu aonekane Hajui kupika, anapogombezwa Huyu aliyefanya Hivi anafurahi.Sasa you can see how it is!
 
Mi nilijua hamtupendi sisi tu kumbe hadi wenyewe kwa wenyewe....... thats gud idea
Hampendani nyie tena.IPO Hata kwa Wanaume, ila idadi ndogo ukilinganisha Na Sisi shemeji zenu
 
Yaleyale. Hapa wewe unajiona ni bora kuliko wenzio....ifahamike kuwa kila binadamu ana tabia yake kama mtu ana maringo, kiburi majigambo hiyo ni tabia yake atakuwa hivyo hata kwa wanaume.
Chukulia Mfano mwingine, kaka kaka, WiFi anamchukua mdogo au Dada wa mume naishi naye mwanzo ni wataishi ishi Baada ya muda.Aisee watampa Kazi sana Kaka wa Watu kuamua ugomvi usioisha kila Siku kwa vitu ambavyo wangetatua wenyewe. Hivyo Hivyo Kwa baadhi ya Mama mkwe. Ni shidaaaaa!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu mfano wako nimecheka..hapo kwenye ukewenza ni kesi nyingine mama unadhani wanaume wangekuwa wanatuwowa wawiliwawili wasingekuwa wanafanyiana visa thubutu...
 
Wanawake mko juu sana...mnaweka kasoro mpaka kwenye msosi
Kweli kabisa.Jambo Dogo linakuzwaaa yaani.Yaani Hata ile appreciation wkt mwingine Hakuna.
Mfano.Kuna mama mmoja alikuwa anarudi kijijini kwao kulima Akaona Si vibaya akusanye vitenge Na Nguo za zamani Kidogo awapelekee wa nyumbani .Aisee walimu weka kikao.Kwa nini awape Nguo za zamani asiwanunulie mpya ?? Wakasema au ndo Dharau za mjini hizi? Lakini nia ya mleta Nguo Walau ziwafae kushindia kwa kuwa Hawana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu mfano wako nimecheka..hapo kwenye ukewenza ni kesi nyingine mama unadhani wanaume wangekuwa wanatuwowa wawiliwawili wasingekuwa wanafanyiana visa thubutu...
Nakwambiaaa.Majumbani Hasa nyumba yenye wake wawili Ni full stress bora awapangie nyumba tofauti.But Hata kama Ni tofauti atachunguza Nguo nini umbeya kwa ma jirani.Yaani Ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…