Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

Siamini, wanaume wengi hawapendani ila unafiki unafanya wasijulikane. Wanawake katika hili si wanafiki ndio maana unaona hawapendani zaidi ya mamen..Siku ukitaka ,kujua wanaume hawapendani kaa nao halafu jaribu kumsifia mwanaume aliyefanikiwa utaipata habari yake!
 


yaan na mm nimeshangaa! wanaua mby yaan wanaume wenzao! bora kwa kulielewa hili!binafs mie niliona km hainihusu maana sinaga gubu za ajab ajabu nikuchukie kwann?eish!
 
Nimechelewa kuiona Hii.Yaani Ni shida.Eti unaongea Na mtoto wako wa miaka 5.Hii Ni kweli kabisa
 
Mzima mrs? Unaona Heloo anakuja na project mpya na tofauti kabisa ya "njoo pm"
Sasa hivi anakwambia #wadadatupendane# 🙂
Nalendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Unaona eeh
 
Halafu bado "wahenga" wanakomaa eti "fahari wawili hawakai zizi moja" nadhani its about time hao wahenga wakaingia tena bungeni kubadili baadhi ya hizo semi zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…